Huyo wa Rwanda anakuwa Balozi full wa TanzaniaMilitary Attaché?
Sisi wenyewe mbona huwa na mabolozi wanajeshi kibao mabalozi full
Ubalozi wowote ni nchi inajitegemea huwa na military attache bila kujali balozi ni mwanajeshi au la .Lazima kuwe na military attache ambaye ni kama mlinzi mkuu wa huo ubalozi .Hakuna balozi nchi yeyote duniani asiye na military attache
Yeye kateuliwa kama balozi ni kitu cha kawaida sio cha ajabu na atakuwa na military attache ubalozini hivyo vyeo haviingiliani ubalozi wowote lazima uwe nao
Sioni shida huyo kupewa ubalozi full Tanzania.Sisi weenyewe mbona hupeleka mabalozi nchi kibao wanajeshi tena wa vyeo vikubwa mno wakistaafu na kule huwepo pia military attache