Tanzania na Rwanda kuna nini?

Tanzania na Rwanda kuna nini?

Military Attaché?
Huyo wa Rwanda anakuwa Balozi full wa Tanzania
Sisi wenyewe mbona huwa na mabolozi wanajeshi kibao mabalozi full

Ubalozi wowote ni nchi inajitegemea huwa na military attache bila kujali balozi ni mwanajeshi au la .Lazima kuwe na military attache ambaye ni kama mlinzi mkuu wa huo ubalozi .Hakuna balozi nchi yeyote duniani asiye na military attache

Yeye kateuliwa kama balozi ni kitu cha kawaida sio cha ajabu na atakuwa na military attache ubalozini hivyo vyeo haviingiliani ubalozi wowote lazima uwe nao

Sioni shida huyo kupewa ubalozi full Tanzania.Sisi weenyewe mbona hupeleka mabalozi nchi kibao wanajeshi tena wa vyeo vikubwa mno wakistaafu na kule huwepo pia military attache
 
Uanajeshi hauna effect yoyote kwenye International diplomacy.
Marekani na watabe wenzake huwa wanawatumia cultural attaché badala ya military attaché (liaison) kwenye kukusanya intelligence. Na hilo ndio muhimu zaidi.

Hao maafisa mara nyingine wanapewa huo ubalozi kama zawadi au kuwaweka mbali na siasa za ndani.
Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries) kufanyiana umafia hivi?
View attachment 2922211
 
Rwanda kw sasa ni hatari aisay ukubwa wa nchi si reason ya kushinda vita.

Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?

Kupeleka baadhi ya wanajeshi wa kikosi kimoja kupigana na M23 si reason ya kuamini sana JWTZ

We huoni Rwanda alivyo wasaidia Msumbiji, wako vizuri sana
Kule Msumbiji lilienda jeshi zima la Rwanda?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tumesaidia sana nchi za maziwa makuu kuwa na amani

Ni vizuri kuwaza mfano mtu alikuwa mkuu wa majeshi Rwanda akistaafu hivi Kwa Rwanda kulivyo aweza kuwa safe? Yeye binafsi na familia yake walivyo na visasi wale Na hawezi kimbia nchi anaweza tafutiwa nchi ya amani yenye uhakika wa usalama wake akistaafu ukuu wa majeshi na familia yake sababu hawezi ingia nchini kama mkimbizi kwa cheo chake kile

Apokelewe na itamsaidia Raisi kagame aweke new blood kwa ajili ya amani ya Rwanda vinginevyo magenerali wazee watang'ang'ania madaraka kwa kuhofia wakibaki Rwanda usalama wao mdogo wakitoka madarakani kwa kustaafu na kubaki Rwanda

Lakini wakiwa na uhakika kuna usalama waendako kama Tanzania magenerali wengi wazee wataanza kukubali kustaafu ili ipatikane Rwanda mpya ya kizazi kipya cha magenerali wa Jeshi wenye muono mpya

Kagame yuko kwenye dilemma asaidiwe hivi ana retire vipi hao magenerali wazee na wakubali kustaafishwa bila hofu ya maisha yao kuwa hayatakuwa Salama ndani ya Rwanda wakistaafu?

Tanzania isaidie hilo vinginevyo watamsumbua Raisi kagame na kugoma kustaafu sababu watakuwa wanaamini tu kuwa usalama wao uko tu wakiwa kwenye madaraka active na si vinginevyo wakiwa ndani ya Rwanda n

Lakini wakiwa na uhakika kuwa wakienda nchi fulani ikiwemo Tanzania wako safe itampa nafasi Kagame kufanya mageuzi Jeshini kustaafisha magenerali wazee awape vijana Jeshi la Rwanda lianze kuwa na magenerali wapya wenye mawazo mapya ya kusaidia Rwanda ya post genocide

Nashauri Tanzania impokee huyo mkuu wa majeshi kwa mtizamo wangu kama sehemu ya kumsaidia Kagame kutekeleza program ya kustaafisha magenerali wazee kwa kuanzia wao wenyewe wakiwa happy na yeye akiwa happy kuendelea na mageuzi jeshini
 
Kagame, kaanza kuchoka akili. hapa anajitengenezea mtu wa kumpindua. kwa historia ya Tanzania.
 
Kagame, kaanza kuchoka akili. hapa anajitengenezea mtu wa kumpindua. kwa historia ya Tanzania.
Kagame toka ashike Rwanda hajawahi zalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania tofauti na huko nyuma ambako mamilioni ya wakimbizi walizalishwa kuja Tanzania

Kwa hilo apewe pongezi zake hata kama ana madhaifu yake kila binadamu ana madhaifu yake akiwemo Kagame sababu yeye Kagame sio Mungu

Mungu pekee ndiye perfect kwa hilo la kutozalisha wakimbizi kufurika Tanzania apigiwe makofi ya hongera
 
Rwanda kw sasa ni hatari aisay ukubwa wa nchi si reason ya kushinda vita.

Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?

Kupeleka baadhi ya wanajeshi wa kikosi kimoja kupigana na M23 si reason ya kuamini sana JWTZ

We huoni Rwanda alivyo wasaidia Msumbiji, wako vizuri sana
Nyie watusi mnahisigi Rwanda anaweza fanya chochote kile kwa Tz ? amakweli nyie ni mamburula, Kambi 3 tu za Kigoma zinatosha kuiadabisha Rwanda kwa siku 3 tuu
 
Kagame, kaanza kuchoka akili. hapa anajitengenezea mtu wa kumpindua. kwa historia ya Tanzania.
Kagame yuko kwenye dilemma angeweza kabidhi nchi hata kesho kwa new generation kikwazo hao magenerali wa vita atawapeleka wapi wawe na uhakika wa usalama na kuwa comfortable?
Wana mawazo ya kizamani pamoja na yeye kuwa very progressive ideas hawataki atoke wala awatoe kwenye military active service afanyaje? Anahitaji msaada wa nchi zingine ikiwemo Tanzania iliyo mu groom kufika hapo alipo

Tanzania impe solution awastaafishaje hao magenerali kwenye active military service akiwemo mkuu wa majeshi kwa packages zipi na waende wapi? Kagame mtoto wa Mama Tanzania lakini kuna wakati huwa jeuri ananyea Mama Tanzania akiyempakata

Lakini sasa hivi tuna tuna Raisi Mama kuna msemo unasema mtoto Mama ukimpakata akikunyea humkati matako

Mtoto Kagame kama mtoto kuna wakati ananyea Mama yake Tanzania akimpakata

Mama Samia kama Mama msaidie tu hili
 
Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries) kufanyiana umafia hivi?
View attachment 2922211
Hakuna haja ya kuwa na hofu.

Tanzania na Rwanda zimeamua kuwa na uhusiano wa kidiplomasia ambao ni wa kistratejia zaidi.
 
Mafunzo ya jeshi la Rwanda yamepatikana Monduli,mwanafunzi hawezi kuzidi mwalimu.
Mwanafunzi akijiendeleza sehemu nyingine tofauti tofauti anakuwa mzuri kuliko Mwl wake,
Rwanda wako vizuri kuliko Tz,
TZ tu Kigogo na Mange Kimambi serikali ilishindwa kuwapata 2016-2021,
Kipimo kidogo ni hiki,
Angalia Rwanda walivyo wazuri kwenye intelejinsia yao, wapinzani wa serikali wanaokimbilia nje wanashuhhulikiwa huko huko.
 
Hivi watu Kama ninyi Elimu yenu ni kiwango gani? Vp upeo wako kwenye Geopolitics na Military knowledge ?
 
Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries) kufanyiana umafia hivi?
View attachment 2922211
Hakuna umafia hapo, ni mawazo ya watu tu, kuogopa vivuli vyao,
Watu wakiona MTU kutoka ngara, karsgwe yupo serikalini, wanahisi ni jasusi wa Rwanda, kisa amefanana kwa sura na jina kama wanyarwanda,
Ila ukiona mmasai , au jaluo yupo serikalini, hawa semi mkenya huyu! Maana wapo hata Kenya!
Ni utaratibu wa duniani mataifa kudukuana kijasusi,USA, Russia, china, kama tz haina majasusi Rwanda ,kenya,sudan,nk ndani ya jeshi na taasisi zingine, huo ni ujinga,
TISS yetu inachojua ni kuimba ccm mbele kwa mbelee
 
Back
Top Bottom