Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
IMG-20260923-WA0177.jpg
IMG-20260923-WA0180.jpg
IMG-20260923-WA0175.jpg


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe. Olivier Nduhungirehe, pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani.

IMG-20260923-WA0178.jpg


Mazungumzo hayo yamejikita katika masuala ya kidiplomasia, kiuchumi na kimataifa, yakilenga kuimarisha ushirikiano na uhusiano ya kihistoria kati ya Tanzania na Rwanda, kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo mbili.

IMG-20260923-WA0182.jpg
 

Attachments

  • IMG-20260923-WA0174.jpg
    IMG-20260923-WA0174.jpg
    515.5 KB · Views: 14
Hiki kichwa Nina uhakika maraisi wengine kama watatu hivi watakaofuata watakitumia.

Hata lissu na chadema yake, watakapochukua nchi mwaka 2400 watakitumia hiki kichwa.
 
Back
Top Bottom