Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
mmmhh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapendeza sana
Wacha weeeeee wacha tuone
Serikali za Tanzania na Saudi Arabia zimeingia makubaliano ya kusaidiana katika kukabiliana na uhalifu ikiwemo uhalifu wa mitandaoni.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano huo kwa upande wa Tanzania jijini Riyadh, Saudi Arabia.
Akibainisha maeneo mengine ya ushirikiano huo, Waziri Masauni amesema pia makubaliano hayo yatahusisha namna ya kukabiliana na majanga ya moto, ajali za barabarani na ajali za majini.
Hati za makubalino hayo kwa upande wa SaudI Arabia zimetiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Saudia, Mwanamfalme Abdul Aziz Bin Saud Al Saudi.
Waziri Masauni yuko nchini Saudi Arabia kwa ziara ya kikazi.
Naona Meli ya Msaada wa Tende iko njiani.
MBS alimteka Jama Khashoggi akamkata kata vipande wakamyeyusha na acid katika ubalozi wa Saudia huko Uturuki.Kwanini tudhibiti kutekana?
Bangi haihusiki na utekajiWakiruhusu bangi itakua hakuna magenge. Bangi za kujificha na kuvutia chooni zina madhara.