Tanzania na Uganda ni ndugu, vipi kuhusu Kenya?

Tanzania na Uganda ni ndugu, vipi kuhusu Kenya?

Hapo sawa Kenya ni majirani,tosha! Sisi ni wanabiashara na biashara + undugu= hasara + dharau.🙂Hehe,hivi ndo watz huwa mnafunzwa Business Education shuleni? Anyway, udungu? Sisi hiyo hapan tambua!

Hatutaki undugu na binadamu wenye roho ya korosho kama nyie.[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Wakenya wenyewe kwa wenyewe sio ndugu....ndio tuje kuwa ndugu zao sisi.
 
Naweza kukuzaa. Kama akili zako zimeishia hapo basi naweza kukupa shule. Uganda ni ndugu zetu je kenya ni nani zetu jibu swali mwanangu
Tanzania na Kenya tutazidi kuwa mandugu wa karibu sana upende usipende. Am out
 
Kawaulize machokoraa wenzako huko Tandale

Sent using Jamii Forums mobile app
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Unakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?
Unadhani Uganda wamesahau!?
Nyie ni wabinafsi hampendi watu wengine wafaidike. Tutaendelea kuwaita jirani na siyo ndugu zetu. Waganda ndio ndugu zetu. Sasa hivi tunafanya mradi wa pamoja wa umeme.
Maana sisi sote ni ndugu sio nyie wakenya.
huu undugu umeanza leo tu au...kipindi wanakung'utwa na Baba wa Taifa ulikua ujirani tu au....nadhani hapa ni maslahi ya kila pande...kama Kenya nako ikitokea fursa kama hii utasikia nao ni ndugu sio jirani..hata Rwanda waliotimuliwa na Jk wakija na SGR ipite Tz watakua ndugu....Africa sote ni ndugu
 
Mwambie huyo chokoraa wa Tandale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hehe..first of all, the geography of East Afroca favors Kenya in serving land-locked nations like UG...secondly, our port is larger, much more efficient than any other port...so I dont see that happening...mtu mwenye akili zake timamu hawezi akaenda mbali kufanya biashara na kuna port moja nzuri iko tu karibu na wao....fimbo ya mbali...malizia....finally, the pipeline did not go to Tz becoz UG hates Kenya...it went to Tz because there were genuine concerns over the kenyan route...for example, alshabaab, cost, and other variables...thats why TOTAL advised UG to take the TZ route but it is not because Uganda hates Kenya...huo ni ujinga...
Jay nasikia port anapewa Jimmy Wanjigi kuna waraka nimeuona wa Commonwealth sijui wa kweli kama ni hivyo kaka ni noma
 
huu undugu umeanza leo tu au...kipindi wanakung'utwa na Baba wa Taifa ulikua ujirani tu au....nadhani hapa ni maslahi ya kila pande...kama Kenya nako ikitokea fursa kama hii utasikia nao ni ndugu sio jirani..hata Rwanda waliotimuliwa na Jk wakija na SGR ipite Tz watakua ndugu....Africa sote ni ndugu
Africa wote ni ndugu lakini kenya ni jirani.
 
Hata kenya ni ndugu, unaweza kuwa na ndugu wengi

''Aut Vincere Aut Mori''
 
sijapata habari
bwana wee eti Nasa wakipenya na kuingia Ikulu huyu tnderprenuer atapewa bandari ya Mombasa kuiendesha yeye na familia ya Joho...japo kweli hayo yanawezekana kwa hizi nchi zeti itakua ni pigo kubwa sana kwa Kenya...
 
wacha tusubiri tuone ila nina maarifa kuwa huyu jamaa wanjigi ana uhusiano mkubwa sana na Raila odinga na hata yeye ni mfadhili mkubwa wa NASA...jamaa pia ni mkora flani mbaya...
 
Back
Top Bottom