Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Sijui chochote,ila nauliza "hivi uaribifu wa mazingira unaathili vipi nchi za EU"?
Sioni sababu ya msingi ya Nchi za EU kupinga miradi wa Nchi nyingine.
Labda wangelijiondoa kwenye ufadhili kama upon,lakini sio kutumia kichaka Cha uaribifu wa Mazingira.
Huo ni ukoloni mamboleo.
 

6 September 2019

Magufuli : Bomba liitwe Museveni Pipeline, sifurahishwi na ucheleweshaji


Rais John Magufuli amemshauri Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuwa mkali kwa watendaji wake ambao wanakwamisha kuanza kwa mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.

 
Umasikini na kukosa focus..yani kiufupi viongozi hawajui nini wanataka na niwaoga sana mbele ya mataifa makubwa..ila ni makatiri dhidi ya wananchi wao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii inaashiria uchuro kwa miradi mikubwa inayoendelea.

Je tulifanya tathmini sahihi pia bwawa la JNHPP Stiegler's Gorge Rufiji, SGR Reli mpya, ATCL shirika la ndege n.k miradi ya matrilioni ya shilingi za kiTanzania au tutakwama njiani kama mradi huu wa EACOP Bomba la Mafuta Hoima - Tanga ?
 
Mfano ATCL na SGR nayo inachafua mazingira?
 
Africa tushakwama Hadi Sasa, nilitegemea baada ya 2020 pengine tutakua bara lenye uchumi mkubwa Ila ishashindikana.

Ulaya na Marekani Wana miradi ya kila aina yenye athari kubwa kwa mazingira kuliko miradi iliyopo Africa. Ila hakuna wa kusema chochote.

Bomba Kama hili huko ulaya yapo mengi yenye miles kubwa ila wote tupo kimya
 
27 November 2021

January Makamba - Mradi wa bomba la mafuta UGANDA-TANZANIA , kazi imeanza
Wadau waelezea matumaini makubwa juu ya faida za kiuchumi zitakazomiminika Tanzania na Uganda. Mnyororo wa faida wa mradi huu wa bomba la mafuta ghafi utakuwa na mguso mpana sana kwa nchi zote mbili bila kusahau wananchi wake pia.
Source : wasafi media
 
Mavi yake!! Angewajibu kwani yeye ndiye mwenye mafuta? Huyu Magufuli mnamu over estimate sana. Alikuwa pimbi tu na asingefanya lolote.

Alishindwa kuuza korosho kupitia TPDF mpaka sasa kuna baadhi hawajalipwa ndiyo mnafananisha na mafuta??
Uzi mzima umetafuta alipotajwa Magufuli. ***** mpaka ujifungue mwaka, nasemaje kunya boga Kama umechukia.
Pumbafffff zako
 
Mfano ATCL na SGR nayo inachafua mazingira?

Hapo ni kuangazia je ilikuwa sahihi kutumbukiza fedha nyingi ktk miradi hiyo au itakata roho kama mradi huu wa bomba la mafuta ghafi hivyo nchi kupoteza fedha nyingi mno kutokana na kutofanyika upembuzi yakinifu wa kutosha kama ambavyo sasa tunaona kupuuziwa suala la mazingira kumesababisha mradi kuyumba na pengine hasara kubwa.

Soma zaidi : MRADI WA SGR RELI

 
Kuwa na akili basi, Reli inajengwa kwa phase. Ni Kama ilivyo mwendokasi, kaanza nayo kikwete, kaja, Magufuli na Sasa anayo mama Samia.

Ulitaka reli kutoka Dar, Dom, Tabora, kigoma, mwanza, Kahama ijengwe ndani ya mwaka mmoja??

Huwa mnatumia nini kufikiria?

Mkienda Dubai kupiga picha kwenye flyovers na burj khalifa mnaona raha. Kuna watanzania ni wapumbavu mmoja wapo ni wewe. Nchi haiweze kuendelea bila miradi.
 

Wao mabeberu huko ulaya, marekani ya kaskazini, China , Korea ya Kusini na Australia wanajitegemee kwa fedha, utaalamu, mitambo, vifaa, kuyeyusha chuma na kikubwa ujuzi.

Tatizo sisi mfano mradi huu fedha mkopo toka huko kwa mabeberu, utaalamu pia ujuzi tunawaajiri mabeberu maana hatuna vitu hivyo, mabomba yanatengenezwa huko kwa mabeberu sisi tunasubiri kuelekezwa jinsi ya kuchomelea mabomba n.k n.k

Hilo ndilo tatizo la nchi za kiAfrika wakati wa kuanzisha miradi mikubwa.
 
Huku wanatudai pesa zao,wakatulazimisha tuweke tozo Ili tulipe madeni!sasa wametoa hiyo,tukigoma hawatupi mikopo!!hapa shangazi wa ccm macho yatazidi kurembua kama amekula kungu gunia Zima.
 
Kwani mazingira yakiharibika si ya kwetu kwani yao???mbona urusi anabomba la mafuta refu linafika hadi ujerumani huko na walikua kimya,,,hapa lengo lao ni kuidumaza Africa tuendelee kuwategemea,,,hawataki kabisa Africa iendelee!
 
Hayo ndiyo maneno. Kazi za wataalamu zifanywe na wataalamu tu.

Watanzania walikuwa wanapenda kusikia tu Domo la Magufuli likiropoka huku athari zikiwarudia wao wenyewe bila kujua. Nchi Ina wajinga wengi
 
Mama anafungua nchi. Kwa Fitna za Kenya utasikia Mradi umepangwa kupitia Kenya ili kulinda mazingira. #mama anafungua nchi.
Sasa Mama anausika nini hapo wakati mradi ni wa Uganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…