Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Salaam Wakuu,

Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.

Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.

View attachment 2358292

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.

Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.

Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.

Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.

Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kazi iendelee pmj sana kwa upande wa Tz kwa Mama maana amechukua pesa zao lazima hafuate Maelekezo..
 
Wao mabeberu huko ulaya, marekani ya kaskazini, China , Korea ya Kusini na Australia wanajitegemee kwa fedha, utaalamu, mitambo, vifaa, kuyeyusha chuma na kikubwa ujuzi.

Tatizo sisi mfano mradi huu fedha mkopo toka huko kwa mabeberu, utaalamu pia ujuzi tunawaajiri mabeberu maana hatuna vitu hivyo, mabomba yanatengenezwa huko kwa mabeberu sisi tunasubiri kuelekezwa jinsi ya kuchomelea mabomba n.k n.k

Hilo ndilo tatizo la nchi za kiAfrika wakati wa kuanzisha miradi mikubwa.
Huwa watu wanasema JF ni jukwaa la great thinkers, mm siamini hata kidogo.

Unasema mabeberu wanajitegemea kwa fedha, kwa hiyo na sisi mpaka siku tuanze kujitegemea kwa fedha ndio tuweze kufanya hii miradi?

Reli au bwawa ni kitu ambacho kitakaa miaka zaidi ya 50 ijayo. Bila kuchukua hatua sasa za kuwa na miradi ya kimkakati na kuendeleza miradi zaidi hatutapiga hatua hata moja.

SGR, JNHPP, flyovers, Kigamboni bridges, Malagarasi bridge, busisi bridge, barabara za lami kuunganisha mikoa, madarada n.k ni kazi zilipaswa kufanywa na Mwinyi na Mkapa. Kikwete, Magufuli na Samia hawakupaswa kabisa kuwaza tena vitu Kama hivyo. Ila sababu za kiswahili Kama zako ndio zinafanya hadi Leo tunaenda kukopa kujenga Daraja la km 1. Wakati ilikuwa ni issue tu ya mwinyi na mkapa kufanya projection

Sababu ya uoga Kama wako mradi mzuri kabisa wa LNG ambao miaka 20 ijayo ungeweza kuibadilisha kabisa Tanzania tumeenda kuwapa watu ambao inaweza kuwachukua miaka hata zaidi ya 50 kudeclare wameanza kupata faida
 
Hivi ndani ya bunge letu la michongo ni mbunge gani anaweza kujenga hoja juu ya hilo? Pengine kukaa kwao kimya kumeepusha aibu kubwa zaidi maana kama wangeongea hatuna hakika wangeropoka nini.
Babu tale
 
Salaam Wakuu,

Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.

Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.

View attachment 2358292

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.

Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.

Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.

Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.

Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Wazungu washenzi tu ndio maana JPM alikuwa anawapotezea
 
Hivi ndani ya bunge letu la michongo ni mbunge gani anaweza kujenga hoja juu ya hilo? Pengine kukaa kwao kimya kumeepusha aibu kubwa zaidi maana kama wangeongea hatuna hakika wangeropoka nini.
watakachofanya ni kuiendeleza hoja ya kuhalalisha bangi ili kuipotezea hii ya mafuta na kuacha waganda wakihangaika kivyao.
 
Kwani sasa hauna vikwazo vya kuingia huko kama Mtanzania? Enzi zetu, tuliosafiri zamani tulikuwa tunaenda nchi takriban zote Ulaya bila visa, leo yanawezekana hayo kwa PP ya Tanzania? Jiulize kwanini?
Ni kasumba tu.

Ukweli wenyewe ni kwamba hakuna lolote la maana zaidi linalopatikana kwa kutembelea nchi hizo kwa sasa.
Kama ni kusaka elimu nzuri, hii sasa inapatikana katika nchi nyingi tu zaidi ya hizo za ulaya. Kama ni biashara, kuna sehemu nyingi za kufanya biashara na mambo mengine kwa ufanisi kuliko huko Ulaya sasa hivi.
 
Wenyewe wanaita exposure. Ila wabongo ni watu wapumbavu Sana. Kwenda kupiga picha kwenye flaovers na kwenye maghorofa Europe, kushangaa bustan na fountains ndio sasa huyo mtu anahesaabiwa kuwa ana exposure
 
Mradi wa EACOP mimi nadhani utafanyika maana Hadi Sasa wakazi wa Uganda na Tz ambao wanapitiwa na Bomba la mafuta tayali wamelipwa pia na kujengewa nyumba kwenye viwanja vipya ambavyo mwananchi mwenyewe amechagua sehemu ya kujengewa

Pia walitoa nafasi kwa local organization ili wafanye kitu chochote kwanzia kwenye kilimo, ufugaji na Mambo ya elimu kwa ujumla ili kuboresha maisha ya jamii yote inayopitiwa na ilo Bomba la mafuta nadhani program iyo itaanza mwisho wa mwaka huu

Pia kama mnakumbuka wanafunzi wa Kenya wanao soma uko abroad waliandamana kupinga huu mradi baada ya Inch Yao kutopitiwa na Bomba la mafuta

Mwisho kabisa kila kitu akikosi faida na hasara ivyo kama inchi inabid tujitathimini ili tufanye mabadiliko endelevu

Ramani ya Bomba la mafuta iyo apo [emoji116]View attachment Route-Map.pdf
 
Hivi angekuwepo hayati JPM hata hii thread ya kupingwa ujenzi wa bomba la mafuta isingeletwa humu.

Wazungu hata siku moja hawapendi maendeleo hasa ya kiuchumi kwa nchi za Africa. Serikali iendelee na mradi labda kama Total mwenye bomba achomoe kulijenga.
 
Kama unamaanisha ulicho andika(japo sijawahi kuwa sapota wa magufuli kwa mengi isipokuwa kwa mradi wa umeme) basi tanzania tunayo safari ndefu sana
Na we ni mmoja wa wanzilishi wa hiyo safari, kama ulimsapoti kwa umeme tu na mengine ukaona hayana maana. Yaani ujenzi wa vituo vya afya, miradi ya maji, ukarabati wa shule na vyuo vikongwe, miundo mbinu..duh
 
Salaam Wakuu,

Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.

Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.

View attachment 2358292

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.

Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.

Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.

Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.

Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Nilishasema miaka 5 iliyopita kuwa mradi wa bomba la mafuta hautafanyika na wala haufai kwa siku hizi za renewable energy.
 
Hivi angekuwepo hayati JPM hata hii thread ya kupingwa ujenzi wa bomba la mafuta isingeletwa humu.

Wazungu hata siku moja hawapendi maendeleo hasa ya kiuchumi kwa nchi za Africa. Serikali iendelee na mradi labda kama Total mwenye bomba achomoe kulijenga.
Huu mradi haufai tena siku hizi ambapo mataifa makubwa yameshaanza mpango wa kuacha kutengeneza magari yanayotumia mafuta. Tuwe na akili za kuangalia trend za dunia.
 
Back
Top Bottom