1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kwani hayo mafuta hafi yatasafishwa Uganda na kusafirishwa nje au Uganda yanachimbwa mafuta ghafi Kisha yasafirishwe kwenda kusafishiwa nje na kurejeshwa Tena kuuzwa Uganda?
Wasiwasi wangu mafuta yatasafirishwa yakiwa ghafi na kurudishwa Afrika Mashariki kuuzwa . Kama ndio hivi hayana umuhimu wowote zaidi ya kuaharibu mazingira.
Makampuni yanayochimba ni ya kigeni.
Hivi nchi za Afrika Mashariki zinashindwa kuajiri wachina ili wachimbe mafuta na kujenga mitambo ya kusafisha mafuta ghafi na kuuza nje mafuta ya Petrol , diesel na mafuta ya taa na Lami??
Hivi Uganda watatulipa gharama ya kupitisha Bomba kwenye nchi yetu kila mwaka au ndio fidia TU ya ardhi yanakopita Mabomba ya mafuta?