Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Kwani hayo mafuta hafi yatasafishwa Uganda na kusafirishwa nje au Uganda yanachimbwa mafuta ghafi Kisha yasafirishwe kwenda kusafishiwa nje na kurejeshwa Tena kuuzwa Uganda?

Wasiwasi wangu mafuta yatasafirishwa yakiwa ghafi na kurudishwa Afrika Mashariki kuuzwa . Kama ndio hivi hayana umuhimu wowote zaidi ya kuaharibu mazingira.
Makampuni yanayochimba ni ya kigeni.

Hivi nchi za Afrika Mashariki zinashindwa kuajiri wachina ili wachimbe mafuta na kujenga mitambo ya kusafisha mafuta ghafi na kuuza nje mafuta ya Petrol , diesel na mafuta ya taa na Lami??

Hivi Uganda watatulipa gharama ya kupitisha Bomba kwenye nchi yetu kila mwaka au ndio fidia TU ya ardhi yanakopita Mabomba ya mafuta?
 
Lakini labda niulize Je, unauhakika kuwa mafuta ya Petroli ,Diesel na mafuta ya taa yatapatikana Toka Uganda ?

Kama yanasafishiwa Uganda Kuna umuhimu Gani wa kuyapeleka mpaka Tanga kwenye Bomba badala ya kuyapakia kwenye Matanker na kusambazwa kwenye soko la nchi za Afrika ?

Kinachoonekana ni kuwa Uganda hawatazalisha mafuta zaidi ya m
afuta ghafi. Bei ya mafuta itakua inategemea soko la nje.
 
Malema ndio maana anatufungua macho kila siku wa Africa lakini tunabakiaga mambumbumbu kila siku
 
Tutamuuzia mrusi na mchina...ova!
Ukishakuwa na bidhaa itanunuliwa tu hata kwa magendo kwakulazimisha au kwa kucheza faulo. Licha ya vikwazo kukolea juu ya urusi.. Itali alinunua nishati bila kuangalia mmarekani anabwabwaja nini.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ukweli wa mambo ni huu: Tungekuwa (Waafrika, kiujumla), na akili kidogo za kujitambua, ingekuwa wakati mwafaka kabisa kuanza mchakato wa kuwaweka chini ya ukoloni wetu hawa watu waliotuweka kwenye ukoloni wao miaka iliyopita.

Ni wazi kabisa, hawa watu wanahitaji kutawaliwa kutokana na kutapatapa kwao kunakozidi kuonyesha utayari wao wa kuwa chini ya himaya yetu.

Huenda kizazi kitakachofuata baada yetu kinaweza kuwa na akili nzuri za kuwaweka chini hawa watu.

Ni wazi hawa watu sasa wanahitaji kutawaliwa ili akili ziwarudi kichwani.

Magu

Aliongea haya wanafiki na walafi wa asali wakawaaminisha ni Mbaya yule hafai !!

Mtanikumbuka,
Sema hata ningekuwa mimi ndo Magufuli ningezabua sana watu wenye midomo [emoji28] midomo wanaonikwamisha [emoji1498]

Binafsi kwenye kampuni yangu sichekagi na koma anayetaka kunikwamisha malengo yangu .

Hao watu tunawapa vichwa cc kuwanusa soksi .
 
IMG_7820.jpg

Kuchomoka ngumu ......
 
Marekani katika Jiji la New York
9-7-1024x645.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York mwezi April 18, 2022. Source : Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Meya wa Jiji la New York nchini Marekani na Kuzzungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa Marekani Tarehe 18 Aprili, 2022 | Blogu Rasmi ya Ofisi ya Rais
 
Hivi ndani ya bunge letu la michongo ni mbunge gani anaweza kujenga hoja juu ya hilo? Pengine kukaa kwao kimya kumeepusha aibu kubwa zaidi maana kama wangeongea hatuna hakika wangeropoka nini.

Je kwa mantiki yako unadhani wale wabunge wa tweeter na Club house wanaweza kutoa hoja against EU? Watakula nini? Kwenye Siasa, msimamo wa vyama na maslahi yao ndo huongea. Wajenga hoja wapo sana, lakini Kama wanasiasa wanajua to draw the line.
 
Mlikuwa mkishupaza shingo na mimba zenu za chuki za Mwendazake naona mtaanza kumuelewa Anko Magu,kile chuma kina misimamo na kinajua kuforce.

Kwa kifupi sizani kama tutatoboa na huyu mzee wa Schedule Maintenance Mwezi wa kwanza Mathreads chenga tupu.
Inauma saana
 
Back
Top Bottom