Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Watu baki tu mashombe shombe hutaniwa na kila kabila nadhani.Aliyekuita hivi ni mtani wako kikabila au ni mtu baki tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu baki tu mashombe shombe hutaniwa na kila kabila nadhani.Aliyekuita hivi ni mtani wako kikabila au ni mtu baki tu?
Daaah sawa mkuu. Lakini kabila lako si linalo watani? Sio lazima uwataje. Lakini wapo? Au sio?Watu baki tu mashombe shombe hutaniwa na kila kabila nadhani.
walikuwa wanafanyaje?Watani ni balaa Sana. Kwenye msiba wa mshua walivokua wanafanya utadhani ni harusi. Yaani ukiwa na moyo mdogo unaweza ulamchapa mtu makofi asee
Doooh hataree...ili wanyamaze wanapewa pesa wanatulia kimya
Hahaha.... FYI... majina ya maeneo mengi hapa Dar na mikoani majina yao ni yalikuwa makazi ya WAARABU..Shukran akhuya...huku naambiwa mwarabu gani unakaa mwananyamala..dah!!
Upo vizuri sana katika historia ya jiji la DarHahaha.... FYI... majina ya maeneo mengi hapa Dar na mikoani majina yao ni yalikuwa makazi ya WAARABU..
Wee kubali watakavokuita... Dar es Salaam watani ni wadamu tosha..
Huyo ilifaa wamvue nguo kabisa akojolewePia niliwahi kuona mtani wa KIMAKONDE anapigwa ngumi ya chembe na kidevu baada ya kuzuia jeneza la marehemu MNGONI kwa kulala mbele ya gari ya kubebea maiti eti mpaka apewe hela.
Pole sana rukia[emoji7][emoji7]Watani ni balaa Sana. Kwenye msiba wa mshua walivokua wanafanya utadhani ni harusi. Yaani ukiwa na moyo mdogo unaweza ulamchapa mtu makofi asee
Pole nyingi sana kwake.Pole sana rukia[emoji7][emoji7]
Hahaha wangoni hawapendi ujinga,ila hapaswi kupigwa Apo ilitakiwa apewe ela aachie njia,so ndo utani wenyewe huoHuyo ilifaa wamvue nguo kabisa akojolewe
Asante sana [emoji120]Pole nyingi sana kwake.
Asante sana [emoji120]Pole sana rukia[emoji7][emoji7]
PoaAsante sana [emoji120]
CoolAsante sana [emoji120]
Nje ya mada kidogo mkuu. Hawa WAMAKONDE ni wenyeji wa mkoa upi? Mwanza?Pia niliwahi kuona mtani wa KIMAKONDE
Kwao ni maeneo ya Chitohori kule kwa kina Harmonize. Mtwara ukoNje ya mada kidogo mkuu. Hawa WAMAKONDE ni wenyeji wa mkoa upi? Mwanza?
Utakuwa wa ukae😁😁Sisi kwetu mabinamu wanatania mpaka basi, ukiwa karibu naye nj balaa, iwe msibani au popote pale.
utani ni noma, mi siuwez
Nalog off
😁😁 😁😁 Mwanarumango moja hiyo mkuuUtakuwa wa ukae😁😁
Mhh. Hiyo ukae ndio wapi huko kijana wangu?Utakuwa wa ukae😁😁