Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

haha watani ni noma!
kuna baba mmoja wakijaluo alikua mtani wa mama, akya mungu yule baba alikuwa anashika adabu akipita na kidumu cha mafuta korie kinadakwa kiutani utani na akirudi kweli, akipita na samaki wanampokea na harudishiwi kitu 😂😂😂 mpaka njia alibadilisha su akifika mitaa ya nyumban anaongeza speed 120 wasimdake
nikaja kuuliza siku moja,, hivi mtu akikasirika kwenye huu utani akaenda polisi inakuaje, nikaambiwa kesii za watani polisi azisikilizwiii wewe ikikuuma sana lia tu
 
Pia niliwahi kuona mtani wa KIMAKONDE anapigwa ngumi ya chembe na kidevu baada ya kuzuia jeneza la marehemu MNGONI kwa kulala mbele ya gari ya kubebea maiti eti mpaka apewe hela.
Huyo ilifaa wamvue nguo kabisa akojolewe
 
Back
Top Bottom