darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
,Mhh. Hiyo ukae ndio wapi huko kijana wangu?
Kinondoni, Ilala, Temeke,kigamboni,Ubungo,Mkuranga,Bagamoyo,Kibaha, Kisarawe,Chalinze,Rufiji na sehemu ya Morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,Mhh. Hiyo ukae ndio wapi huko kijana wangu?
Tunakutia vittasa vya nguvu!!! Aache upumbavuHahaha wangoni hawapendi ujinga,ila hapaswi kupigwa Apo ilitakiwa apewe ela aachie njia,so ndo utani wenyewe huo
Tena vitasa vya milango ya chuma hahahaaaaTunakutia vittasa vya nguvu!!! Aache upumbavu
Sawa kijana. Asante kwa ufafanuzi wako.,
Kinondoni, Ilala, Temeke,kigamboni,Ubungo,Mkuranga,Bagamoyo,Kibaha, Kisarawe,Chalinze,Rufiji na sehemu ya Morogoro
Utakuwa wa ukae😁😁
Mshaanza utani 😂😂😂😁😁 😁😁 Mwanarumango moja hiyo mkuu
hahahaaaa JF raha sana 😂😂Mshaanza utani 😂😂😂
Nalog off
😂😂 ni shiiiiidaMshaanza utani 😂😂😂
Nalog off
Duuuh huyu njemba ni kiboko...Kuna njemba wakati wa msiba wa Babu iliingia kaburini inashinikiza asipumzishwe Babu Hadi ipewe gambe na mkwanja.
hahahahaaaa walikufunga kamba kwenye mtiWatani sio watu wazuri kabisa.....kuna wamama wawili kwenye msiba wa mtoto wa ndugu yangu walinifunga kamba kwenye mti kama mbuzi....wanadai hela wakanunue nyama...ati kwa nini kwenye msiba tumepika wali - maharage!?
Ila wakati mwingine wanasaidia sana kuondoa stress na hata kazi kwenye misiba.
Wasukuma nyie watani zenu ni wazaramoKwa mimi msukuma ni makabila yapi hapa tanzania na nje ya nchi ya tanzania ni watani zangu?
Nimeuliza tu wakuu
Akhsante mkuu.....Wasukuma nyie watani zenu ni wazaramo
MuiteMhhh sina uhakika labda yna2
Hata mimi watu wa namna hiyo huwa wananikera sana mkuuMambo ya kuwa na multiple ID unajiuliza then unajijibu inakera sana