Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Kuna dogo anaperuzi JF kama "mgeni" kaomba nimuwekee jinsi alivyotaniwa na mkurya alipoingia mjini Mwanza mara ya kwanza,(dogo ni mhyaya) kazi aliyokuwa anafanya ni usaidizi katika ujenzi, huko alikotoka Bukoba hakuwahi kukutana na tofari zito la saruji, dogo kubeba matofari kama 10 kupandisha juu akawa amechoka vibaya na ndipo mkurya akamutania hivi: .."uliposikia dada yako anapigiwa simu huko kijijini kuwa njoo makoroboi imechangamka ukadhani imechangamka kwa wavulana! ni wasichana tu tena inachangamka usiku..."
dogo anasema alitamani kuacha kibarua ila akajipa moyo anasema mpaka leo neno hilo huwa linamuuma
Utani Wa ngumi, iwe bojo
 
Mpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Ukikutana na hawa watani ni raha tupu. nilikuwa mkoa Wa mara jamaa akaisi mi ni mihaya alikuwa ni mjaruo. Aisee aliniendesha vibaya sana alichukua simu ikabidi nimsindikize mpaka kwake, nikambana kwa make wake. Tukanywa nyuka tukayamaliza. Tafuta Mtani wako popote ulipo
 
Utanu mzuri unaimarisha sana mahusiano mema katika jamii. Ninaomba kukusaidia kuwakumbusha wana JF wenzangu kwamba Tafuta Mtani wako popote ulipo
 
Mpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Ukikutana na hawa watani ni raha tupu. nilikuwa mkoa Wa mara jamaa akaisi mi ni mihaya alikuwa ni mjaruo. Aisee aliniendesha vibaya sana alichukua simu ikabidi nimsindikize mpaka kwake, nikambana kwa make wake. Tukanywa nyuka tukayamaliza. Tafuta Mtani wako popote ulipo
Flyover ya Ubungo ile ni kazi bora ya CCM
 
Mpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Ukikutana na hawa watani ni raha tupu. nilikuwa mkoa Wa mara jamaa akaisi mi ni mihaya alikuwa ni mjaruo. Aisee aliniendesha vibaya sana alichukua simu ikabidi nimsindikize mpaka kwake, nikambana kwa make wake. Tukanywa nyuka tukayamaliza. Tafuta Mtani wako popote ulipo
Hao CHADEMA hata ofisi tu hawana
 
Back
Top Bottom