Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
hahahaaaaa enhee...kuna MKURYA alikuwa anapenda kunitania sana mara wahaya hivi mara vile mara mhaya Toleo la Mwisho wahaya wenzio Maprofessa na mkalia kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaa enhee...kuna MKURYA alikuwa anapenda kunitania sana mara wahaya hivi mara vile mara mhaya Toleo la Mwisho wahaya wenzio Maprofessa na mkalia kimya.
Utani Wa ngumi, iwe bojoKuna dogo anaperuzi JF kama "mgeni" kaomba nimuwekee jinsi alivyotaniwa na mkurya alipoingia mjini Mwanza mara ya kwanza,(dogo ni mhyaya) kazi aliyokuwa anafanya ni usaidizi katika ujenzi, huko alikotoka Bukoba hakuwahi kukutana na tofari zito la saruji, dogo kubeba matofari kama 10 kupandisha juu akawa amechoka vibaya na ndipo mkurya akamutania hivi: .."uliposikia dada yako anapigiwa simu huko kijijini kuwa njoo makoroboi imechangamka ukadhani imechangamka kwa wavulana! ni wasichana tu tena inachangamka usiku..."
dogo anasema alitamani kuacha kibarua ila akajipa moyo anasema mpaka leo neno hilo huwa linamuuma
Ngumi pamoja na mateke kama MbashaUtani Wa ngumi, iwe bojo
Utani huwa ni mbaya sana kama mtu hana moyo wa uvumilivuUtani Wa ngumi, iwe bojo
Utanu mzuri unaimarisha sana mahusiano mema katika jamii. Ninaomba kukusaidia kuwakumbusha wana JF wenzangu kwamba Tafuta Mtani wako popote ulipoMpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Ukikutana na hawa watani ni raha tupu. nilikuwa mkoa Wa mara jamaa akaisi mi ni mihaya alikuwa ni mjaruo. Aisee aliniendesha vibaya sana alichukua simu ikabidi nimsindikize mpaka kwake, nikambana kwa make wake. Tukanywa nyuka tukayamaliza. Tafuta Mtani wako popote ulipo
Hapa patamu sana mkuu...Mpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Raha isiyo na mfano kaka mkubwa...Ukikutana na hawa watani ni raha tupu.
Flyover ya Ubungo ile ni kazi bora ya CCMMpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Ukikutana na hawa watani ni raha tupu. nilikuwa mkoa Wa mara jamaa akaisi mi ni mihaya alikuwa ni mjaruo. Aisee aliniendesha vibaya sana alichukua simu ikabidi nimsindikize mpaka kwake, nikambana kwa make wake. Tukanywa nyuka tukayamaliza. Tafuta Mtani wako popote ulipo
Hao CHADEMA hata ofisi tu hawanaMpare vs mchaga
Msukuma vs mgogo
Mhaya vs mjaruo
Ukikutana na hawa watani ni raha tupu. nilikuwa mkoa Wa mara jamaa akaisi mi ni mihaya alikuwa ni mjaruo. Aisee aliniendesha vibaya sana alichukua simu ikabidi nimsindikize mpaka kwake, nikambana kwa make wake. Tukanywa nyuka tukayamaliza. Tafuta Mtani wako popote ulipo
Mkuu, unawapenda sana CCM?Hao CHADEMA hata ofisi tu hawana
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua CCM imepita bila kupingwa.Mkuu, unawapenda sana CCM?
Hatuongelei utani wa kisiasa ni waki kabila. We kabila gani sulphurYaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua CCM imepita bila kupingwa.
Jamaa muda wote anawaza siasa tu.Hatuongelei utani wa kisiasa ni waki kabila. We kabila gani sulphur
Wazaramo/Watu wa pwani+Wagogo!!!Kwa mimi msukuma ni makabila yapi hapa tanzania na nje ya nchi ya tanzania ni watani zangu?
Nimeuliza tu wakuu
Wewe unaonekana ni mzaramoWazaramo/Watu wa pwani+Wagogo!!!
SHIMBANGOSHA, Nipo Buhongwa Nyamagana Mwanza Tanzania!!Wewe unaonekana ni mzaramo
Mwadela babaSHIMBANGOSHA, Nipo Buhongwa Nyamagana Mwanza Tanzania!!