Hakipo hiki kifurushi unachosema, halopesa kuna cha wiki mbili kwa sh 3000 unapata mb 1331.2 na dk 30 na kingine cha wiki moja kwa sj 1000 unapata mb 420 + dk 15Weka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Hawa jamaa ndio wameharibu kabisa afadhali wangeacha vile vya mwanzo
Hio ishapigwa pangaWeka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Tutoe ma social network ibaki twiter na jamii forum basi
Nakupenda mina! bas tuu [emoji7] [emoji854]Hii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katik akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao
Ishapigwa panga hiyo haipo tenaaaWeka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Wapuuzi wameununua mtandao wa Zanzibar Telecoms washafanya vituko vyao tayari. Zantel sio mtandao rafiki tena sababu wadhulumati Tigo washauingilia.TIGO NDIO OVYO KULIKO MITANDAO YOTE
Twitter si ishafungwa bila VPN huipatiibaki Twitter pekee
Hii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katik akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao
Nilijua labda ni peke angu. Duuh hawa watu wanatutesa sana aiseeTwitter si ishafungwa bila VPN huipati
Nan kakwambia?Sasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
Shame on youSasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
asee sio kwa panga hili dah hii nchi watu wanaongoza wanavotaka wao yaan halotel buku walikua wanatoa 1GB et saiz wanatoa MB 420 ahahahaha lazma tuget off ze intanet!