Mgm-
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 6,077
- 8,794
Una undugu na jiwe? maana una akili za ki sadist kama jiweSasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!