Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Wapuuzi wameununua mtandao wa Zanzibar Telecoms washafanya vituko vyao tayari. Zantel sio mtandao rafiki tena sababu wadhulumati Tigo washauingilia.



Mbna Zantel ilikuwa merged na tigo zaidi ya miaka miaka 10 iliyopita miaka
Miaka 2 au miaka 3 iliypita ndo tigo ikawa ikawa imeimiliki ZANTER upande wa TANZANIA 100%
Hapo ndo mafyekele yakaanza vifurushi vikabadilika ila uzuri ni kuwa ikawa inapatikana kokote ilipo TIGO

Kwa lugha nyepesi ZANTER ni tigo namba 2
 
Aisee jamaa sio kwa bei hizi, kimsingi hapa hata kuangalia udaku kutapungua, maana hauwezi kutoa elf kumi kununua Gb 1, ili uangalie upuuzi
 
Sioni umuhimu kifurushi kuandikwa ni cha intrenet halafu ukikiangalia wameweka na dk, ambazo kama inakuwa hivyo ni heri kuweka aina moja ya vifurushi na sio kuita ni vya internet
 
Sijui ni watu wa aina gani hawa wanaoitwa viongozi .,....
Wao wanatazama maisha yao tu na familia zao.

Natamani watanzania wote tungegoma kwenda kujipanga foreni kuwapigia kura
 
Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi 02/04/2021.Endelea kufurahia huduma bora kutoka Mtandao Supa.Vigezo kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom