Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Hapo hakuna matango pori mkuu bali ndiyo uhalisiaIt is "Ful dei" isije kuwa nalishwa tango pori
Hapo hakuna matango pori mkuu bali ndiyo uhalisiaIt is "Ful dei" isije kuwa nalishwa tango pori
Hatari sana na aibu kwa taifaLeo tar 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao...
Na kipara chakeHaya ndio matokeo ya hesabu za Ndugulile. EMPTY SET.
CCM ni ile ileKiukweli nmesikitika sana
Mfano Halotel kuna bundle nilikua nanunua kwa njia ya halopesa lilikua ni 3GB plus 30dk mitandao yote
Kifurushi kilikua na gharama ya Tsh.3000/= na kwa week nzima
Chakushangaza sahivi gharama ni ile ile ila napata 1GB na Mb300
Is this fair? Ndio maboresho haya? Au ndo kukandamizwa
Kwa dalili hiz binafsi nimeanza kumkataaHuyu mama anafuata ya dictator
Serikali ya wanyonge na inatunyonga haswaDaily tunaambiwa serikali hii nibya wanyonge.
Maza hafai kabisaKwa dalili hiz binafsi nimeanza kumkataa
kakuta lishaplaniwa mbona akil hunaMaza hafai kabisa
Aisee hivi nia yao ni nini hawaCCM ni ile ile
Hawezi kuzuia? shame on youkakuta lishaplaniwa mbona akil huna
Kutufilisi ili tuendelee kuitwa wanyongeAisee hivi nia yao ni nini hawa
Kwahy ww umefrahi si ndio mkuu hongera sana mtoto wa wazirkakuta lishaplaniwa mbona akil huna