mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Tigo bando la GB 1 Kwa elfu 2.
Linavyopotea kama upepo
Linavyopotea kama upepo
Sasa hilo ndiyo wakubwa hawakupenda.Kuna watoto na watu waIma wanapata maarifa tele kupitia online classes na lessons ,
Internet ni uwanja mpana sana
Itabidi freebasics itambe sasa...but no picha na documentatumbuliwe tu sijui wamefikiria negative impacts za kupandisha bei za vifurush
Sawa sawa kabisa mm natumia browser InstagramWadau ni vyema tukapeana mbinu kipindi hiki cha mb kiduchu jinsi ya kuzi-handle
Mimi naanza na instagram.ili kutumia data kidogo ni vyema ukaingia instagram through browser mfano chrome (mf.www.instagram.com),utatumia data kidogo na video unaweza ukaamua kuiplay ukitaka usipotaka unaacha tu kuliko app yenyewe ya instagram video zinaplay automatic na ndo zinazomaliza mbs.
Chanzo cha haya yote ni huyo Magufuli.Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,