mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Kifurushi cha GB 1 Kwa elfu 2000
Cha tigo kinakwenda kama upepo
Hana siku yenyewe haiishi
Cha tigo kinakwenda kama upepo
Hana siku yenyewe haiishi
Yeap, kesho wanatoa bando mpya... Stay tunedNao wana mabadiliko hiyo tarehe?
Wi-Fi inatoka wapiKifuatacho mimi itakuwa ni Wi-Fi na freebasics basi.
2GB ilikua inauzwa Sh 2000 kwa sasa ni 1 GB kwa Sh 2000.Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Mkuu c gb3,ni gb 1133 kama ckosei,kasome upyaWeka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Zantel ni Tigo iliochangamka![emoji2]Zantel kwa buku nilikuwa napata 1GB kwa siku 3 saivi imekua 450MB [emoji45] [emoji45] .natamani kuhama ila nasubiri kwanza.
Nao wana mabadiliko hiyo tarehe?
Huku halotel nilikua napata 3GB kwa ef3 kwa week zimaZantel kwa buku nilikuwa napata 1GB kwa siku 3 saivi imekua 450MB [emoji45] [emoji45] .natamani kuhama ila nasubiri kwanza.
Khaaa mbona hii imekua too muchhalotel dah nilikuwa naweka GB7 kwa buku 5 leo naona mb420 kwa buku wamekitoa asee
Inatia hasira sn2GB ilikua inauzwa Sh 2000 kwa sasa ni 1 GB kwa Sh 2000.
Very sadHatariii na nusuView attachment 1740256
Basi hata kana uzee!? Hiyo hali ya kukakamaa ni ile msongo wa mawazo na uchu wa teuzi,Huyu Mzee na wenzake ni mashetwani
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio hali halisi hiiView attachment 1740273
Natamani kuamini kua wako serious ila kwasababu ni april fool nabakia kucheka tuNdio hali halisi hiiView attachment 1740273
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]washapindua mbona muda mrefu. Tangu 1 April Kaka. Hilo tangazo umechelewa kulipokea tuuVodacom wananitumia tangazo hapa ,kwamba kesho na wao wanapindua meza
Na kwanini marekebisho yamefanyika April fools?halotel dah nilikuwa naweka GB7 kwa buku 5 leo naona mb420 kwa buku wamekitoa asee