Hahah!Ndo maana jana nimenunua kifurushi cha mwezi halotel...niliona vimeseji vyao jana machale yakanicheza
Wakijibu nitagaliyeko ttcl atuambie hali ya huko.
Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Iliandaliwa kabla Magu hajafaKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Wewe akili hunaKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Bro umeandika vizuri sana, nashangaa bdo watu wanajiita wanyonge !Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Bora haw[emoji106][emoji16]View attachment 1740318
unaongea usichokijua hii ni bei elekezi ilitolewa Magufuli akiwepo. Huu ni utekelezaji wa makubaliano April 2 waanze kufuata bei elekezi na kanuni mpya.Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
rua atutarame!Voda sijui itakuwaje woiii😩😩 ngachoka
Kwani hakitaisha? [emoji1787]Ndo maana jana nimenunua kifurushi cha mwezi halotel...niliona vimeseji vyao jana machale yakanicheza
hama tu,Zantel kwa buku nilikuwa napata 1GB kwa siku 3 saivi imekua 450MB 😟 😟 .natamani kuhama ila nasubiri kwanza.
Yaaaani ... Ndio kilichobaki ..Tutoe ma social network ibaki twiter na jamii forum basi
Voda[emoji106][emoji16]View attachment 1740318