Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Hapa najiuliza ninunue leo cha mwezi kabisa ama nisubiri hiyo kesho je hayo mabadiliko yatakuwa na afadhal ama ndio kuzudishiwa maumivu.
Nunua tu lakn baada ya mwezi tutakuwa pamoj kweny maumivu
 
Tumeruka tope tumekanyaga mavi. Tutalalamika siku mbili siku ya tatu tumeshasahau mambo yanaendelea! Utasema watanzania wote baba yetu mmoja
Haya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.

Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.

CCM mbele kwa mbele.tu
 
Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Nikweli MKUU siku sio Nyingi wote tutaimba wimbo Mmoja wa Kumkumbuka Jembe letu kutoka chato.

Yule bwana tulikua tumelamba dume Aisee yaani nikiangalia Video zake na mapenzi Makubwa aliyokua nayo kwetu Watanzania. Machozi yananilenga najikuta naisogelea TV na kumwambia Ndugu kwanini Umeenda?
 
Uyu ndungulile atueleze vizuri mana vifurushi vimepanda maradufu na wakati alisema vifurushi vitashuka bei na vitakua avipishani bei kwa mitandao yote sasa nacho kiona siamini
 
Halotel bado hawajabana sana hasa kwenye menu ya laini za vyuo

Gb 1 kwa 1500
Screenshot_20210401-134437_Phone.jpg
 
Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Nahisi walikuwa wana plan nzuri,wamebadili gia angani baada ya mzee kufariki,ni mwendo wa % tu sasa. Daaah...!!
 
Ni UPUMBAVU tu kama ulivyo UPUMBAVU mwingine.
 
Back
Top Bottom