Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
kimeumana afandeesema KIMEUMANA!
kimeumana afandeesema KIMEUMANA!
Kwa kweli sio fair kabisa, mfano juzi niliwapigia simu vodacom kuwauliza mbona kifurushi cha Tsh 10,000 mwezi mzima kina dakika mitandao yote 600 lakini dakika 500 ni za kutumia saa 6 usiku hadi saa 10:59 alfajiri...inakuwaje mnalimit dakika za mitandao yote kwa muda maalum tu? mbona mitandao mingine dakika mitandao yote ziko free hazina limit ya muda?Halafu kila mwaka utawasikia bila aibu wanatangaza faida ya mabilioni ya shilingi.
Mimi sina shida kwa sasa.Wapandishe tu.Ninachofanya ni kujifungia na mpnz wangu chumbani, tunasengenya watu tu.Ndicho kilichobaki. Nimejikita kwenye alkasusu tu.Haya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
pumbavu kabisa wewe. kupanda kwa vifurushi ni mpango umeanza muda. lengo ni kututoa kwenye mitandao ili tusiwakosoe hao unaosema tutawakumbukaKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
👏Chanzo cha haya yote ni huyo Magufuli.
Halotel wameniangusha kwakweli sikutegemea, bora nlinunua kifurushi changu cha mwezi cha mara ya mwisho.View attachment 1740133
Royal bando
View attachment 1740134
Mega bando kwa wiki
View attachment 1740136
Internet kwa wiki
Kwa mabadiliko haya ya vifurushi kwa nini Waziri Ndugulile asijiudhuru kwa kuudanganya Umma wa Watanzania. Tuliaminishwa kwamba vifurushi vitapatikana kwa gharama nafuu, imekuwa kinyume chake.
Kwa heri Halotel, niliwapenda lkn ndo basi tena. Na jana nimetoka kuwapigia chapuo kuwa mko vizuri, kumbe sikujua masaa machache yajayo ingekuwaje.
Baada ya kutoa yangu moyoni, tujuzane wapi pa kukimbilia kwa sasa.
Hamna pa kuhamia paliko salama, nianze kwa kusema tu kmlmmk alieratibu mchongo mzima wa kutupandishia vifurushiHalotel wameniangusha kwakweli sikutegemea, bora nlinunua kifurushi changu cha mwezi cha mara ya mwisho.
Sijui nihamie wapi sasa
Kama ni hivyo Basi wataka tuludi nyumbani kumenoga.🤣🤣🤣🤣🤣😂🙋Mimi hapa natumia ttcl sijaona mabadiliko yoyote kwenye vifurushi
mitano tena, ila naskia kuna vifurushi maalum vya MAATAGAHaya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
Uwiii mi ndo kilikuwa kinanitoa nikiwa mjini khaaa[emoji134]halotel dah nilikuwa naweka GB7 kwa buku 5 leo naona mb420 kwa buku wamekitoa asee