Maxi18
Member
- Feb 26, 2021
- 84
- 135
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hay sikilizia kesho rafikiAirtel mabadiliko yatupitie mbaliView attachment 1740498
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hay sikilizia kesho rafikiAirtel mabadiliko yatupitie mbaliView attachment 1740498
Toa maelezo kidogo kakaKaribuni freebasics, huku kuna:
1. BBC
2. JAMII FORUMS
3. DW
N.K
Hatar snSerekare ya wanyonge hoyeeeeeee....
Tanzania ni tajiriii
Uchumi wa kati hoyeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio kosa la makampuni yanayotoa huduma ya internet. Kosa nila mamlaka ya mawasiliano na waziri wake kuwapangia bei za vifurushiHii mitandao ya Simu inatufanya watumiaji Mazuzu sana, wanajipangia wanavyotaka tu
Ushirikishwaji au uchukuaji wa maoni kuhusu bei za vifurushi hawana
Utaratibu wa wapi sijui huu
Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Kaka hebu tupeane ujanja hapa ipoje hio freebasicsKifuatacho mimi itakuwa ni Wi-Fi na freebasics basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Kesho tigo watakula watu tigo![emoji38][emoji38][emoji38]
Sio maboresho ni ukandamizaji na uhuniWakuu haya maboresho kilichofanyika kutukandamiza sana.
Mfano mnaotumia halotel naona mabadiliko makubwa sana vifurushi vimepunguzwa alafu gharama ni ile ile.
Hebu tupeane updates na mitandao mingine

Ni suhala la muda tu utarud apa kulalamika hutoona ivyo tenaHii ni airtelView attachment 1740480
Mkuu kwani huijui free basics?Kaka hebu tupeane ujanja hapa ipoje hio freebasics
Mjing* kama wajing* wengne ss hii ndo habar gn haijajotosheleza au ww ni secretary wa halotelWakuu haya maboresho kilichofanyika kutukandamiza sana.
Mfano mnaotumia halotel naona mabadiliko makubwa sana vifurushi vimepunguzwa alafu gharama ni ile ile.
Hebu tupeane updates na mitandao mingine
Maboresho kwenye mitandao yote ..Hivi hiyo tarehe mbili kuna nn maan hiyo taarifa sijaipat kwa kweli??
Kipindi cha mabadiliko,kina mengi ndani yake,wengine wakiona nifursa,wengine wakiumizwa,na wengine wakiwa na matumaini na matarajio mapya.Samia na wanyonge
Utata ndio unapoanzia hapa sasaWala sio kosa la makampuni yanayotoa huduma ya internet. Kosa nila mamlaka ya mawasiliano na waziri wake kuwapangia bei za vifurushi
na Dr Faustine Ndugulile yupo kimyaHaya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.