alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,724
- 6,077
Halotel imekua ghali kuliko vodacom
Kwa kwel aiseeHalotel imekua ghali kuliko vodacom
Acha tu, hadi nimeshangaa imekuaje wamebadilisha vifurushi wakati walikuwa wamekaa zaidi ya miaka 3 hawajabadilisha vifurushi kabisa.Wapuuzi wameununua mtandao wa Zanzibar Telecoms washafanya vituko vyao tayari. Zantel sio mtandao rafiki tena sababu wadhulumati Tigo washauingilia.
Muacheni mtu apumzike bhana haya yameletwa na bwana ndungulile bhana sasa magu hapa kaingia vpHii plani ilikuwa ya Mtakatifu Jiwe!
Ili wote tuwe wanyonge!!.
Yaani hapo ni kama umeahirisha msiba tuNdo maana jana nimenunua kifurushi cha mwezi halotel...niliona vimeseji vyao jana machale yakanicheza
mkuu salamu kwa Rose ChakulaNdio hali halisi hiiView attachment 1740273
wamefanya tafiti wakagundua 70% ni MATAGA hawajui kitu, kwahiyo wamekubaliana kupandisha vifurushi ili kumkomoa Kigogo2014 ili asipostiNa kwanini marekebisho yamefanyika April fools?
AminiSasa tutabaki wachache online. Kudownload movie itakuwa shida
Naona tunahamia TTCL AU ZANTEL KWA KASI
Tutateseka sanaAcha tu, hadi nimeshangaa imekuaje wamebadilisha vifurushi wakati walikuwa wamekaa zaidi ya miaka 3 hawajabadilisha vifurushi kabisa.
Utaulizwa uingize namba ya kadi ya chama chako Cha siasa.mitano tena, ila naskia kuna vifurushi maalum vya MAATAGA
ha ha ha ha , Hakyanani nlijua WAPINZANI ndio wamepandishiwa bando kumbe hadi MATAGA.Utaulizwa uingize namba ya kadi ya chama chako Cha siasa.
Sasa wewe fanya kosa uingize namba ya kadi ya CHAUMA.
VPN tuko nao wakiongozwa na yule waziri wa zamani kutoka mkoa wa Toronto mpenda tiba za jadi.ha ha ha ha , Hakyanani nlijua WAPINZANI ndio wamepandishiwa bando kumbe hadi MATAGA.
VPN ndio najua ni wapinzani wanatumia, MATAGA wanaangalia TBC tu
BORA DIKTETA LIMEKWENDA.Hii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katik akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao.
VPN inakula bando na chaji, yaani tunaisoma namba kweli kweli kama Bashiru na Polepole, japo wao wamezawadiwa ubunge.VPN tuko nao wakiongozwa na yule waziri wa zamani kutoka mkoa wa Toronto mpenda tiba za jadi.
We tarko kama tarko.