OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Habari wakuu,
Niwe muwazi, ktk watu niliokuwa nawakubali sana awamu ya 5 watu wanaosimamia professional yao mmoja wapo ni Mh Faustine Ndugulile, hata alipotumbuliwa bado niliendelea kumkubali sana huyu mwamba sababu alikuwa mchapa kazi,
Hicho ndicho kilichomfanya apite kwenye kula za maoni kule kigamboni mpaka kumbwaga bashite,
Hivi juzi baada ya kupewa wizara ya Teknolojia na mawasiliano alionyesha nia njema ya kujali maslahi ya wananchi wanaolalamika kuibiwa bando na makampuni ya simu, sikuwa nashaka sababu nilijua atalimaliza hilo tatizo,
Cha ajabu imekuwa kinyume, gharama zimepanda, bando limepunguazwa, Mh kumbuka wewe ndio umezianzisha hizi kanuni za kuongoza hayo makampuni kwenye utoaji wa bando, kiukweli watu wanaumia sana,
Lawama zote utazibeba wewe, hiki kitu kitakuharibia mvuto wako wa KISIASA, huu mzimu wa bando utakutesa sana huko mbeleni maana unaumiza watu wengi,
Je makampuni ya simu yanamhujumu mh Ndugulile? Kama sio kweli why atufanyie hivi? Je kuna haja ya kuendelea na hizi kanuni?