Kuna mtu somewhere amekula rushwa ndefu mzigo wanabebeshwa wanyonge.Bei za vifushi kufikia 1st April na 2nd April hazishikiki. Kwa mujibu wa ISP's inadaiwa hiyo moderation iliyofanywa na TCRA. Kiufupi ninahitaji kujua ni nin chanzo cha kupanda kwa gharama izo. Kiasi ambacho sisi wengi hatuwezi afford?.