The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Nani aliruhusu bia kuuzwa mda wa kazi? Ona sasa majibu kama haya.Halotel wana ujumbe wenu hukuView attachment 1740738
Nani aliruhusu bia kuuzwa mda wa kazi? Ona sasa majibu kama haya.Halotel wana ujumbe wenu hukuView attachment 1740738
Hatari sanaHahahaa!!lazima wafike tu mkuu, tutawalaumu bure lakini mchawi ni serikali kuweka kodi kubwa!!!ni kilio cha samaki
yaani degree, masters na phd zote zilizojazana kwenye wizara yenye dhamana na masuala ya mawasiliano na taasisi zake kama tcra ndio zimeishia kuja na ubunifu wa vifurushi vya kuumiza wananchi namna hii?!.
waziri muhusika hutoshi kwenye hiyo nafasi, kaa pembeni kulinda heshima yako kabla mama samia hajakuondoa.
View attachment 1740839
Haya maumivu wao hawayaoni kwakuwa hali zetu na zao ni sawa na mbingu na nchi..kuna baadhi yao hawajui hata kwa mwezi wanatumia bei gani ya vocha