Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
Ttcl vipi, Vipi wàko na bundle za wanyonge au na wao wamekuwa mabeberu??.
Mi jf Free basic , Twitter ndo narumia bandoHaya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
Weka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Namba mbili ndo mwokozi wangu kwasasa Vodacom.[emoji106][emoji16]View attachment 1740318
HaiyeVoda sijui itakuwaje woiii😩😩 ngachoka
Hahahaa!!lazima wafike tu mkuu, tutawalaumu bure lakini mchawi ni serikali kuweka kodi kubwa!!!ni kilio cha samaki
Tigo hao mkuu, Zantel wasingeweza kufanya huo uhuniAcha tu, hadi nimeshangaa imekuaje wamebadilisha vifurushi wakati walikuwa wamekaa zaidi ya miaka 3 hawajabadilisha vifurushi kabisa.
Huyu jama Ndugulile ndyo aliwachokoza na kujidai mjuaji. Ona sasa ameiingiza nchi kwenye tatizo kubwaKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
It's prank
Magufuli utamkumbuka wewe mazuri yapiKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
😃😃😃 Relax Mkuu.It's prank
Hiyo ni Photoshop trust me I can do better than you
Labda hiyo screenshot iwe ya mwaka 2008
Hii ni propaganda kabla hata ya Mh.Samia kuwa Rais, Mimi nilijua since sms zilitumwa na hata TCRA wametuma yao ya Sim pin siku nyingi.Kuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Huna pakuhamia mitandao yote wamebadili bei.Zantel kwa buku nilikuwa napata 1GB kwa siku 3 saivi imekua 450MB 😟 😟 .natamani kuhama ila nasubiri kwanza.