TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
Mkuu kwanza tambua kua bando sio basic need. Yaani mtu asipokua na bando hatakufa. Kitakachotokea mi naona watu watapunguza sana kununua bando na matumizi ya internet kwa ujumla. Mfano kama mtu alikua ameshajiwekea kwamba matumizi yake ya internet ni tsh 2000 kwa wiki, ukipandisha bei usitegemee huyu mtu aanze kununua bando la 5000 kwa wiki. Wengi ama wataacha kabisa kununua, au watanunua hilo hilo la 2000 halafu anapunguza matumizi. Mfano mimi nimeanza kwa ku uninstall instagram na youtube.Thubutu!
Mtanunua tu mtake msitake.