Kauli yako ya Kifedhuli na Kidharau kama hii ndiyo ilisababisha hata kule nchini Ufaransa mwaka 1789 kukawa na French Revolution baada ya Mke wa Mfalme Louis XVI aitwae Malkia Marie Antoinette kusimama katika Balcony na Kuwaambia Waandamanaji waliokuwa wakilakamika Bei ya Mkate kuwa juu na Yeye akawaambia Wanunue Keki wale.
Hivi Bei ya Mkate na Keki ni sawa? Na Wewe unavyowakejeli hapa wanaonunua Bando za Buku Buku na kuwataka Wanunue za Tsh 30,000/= hii siyo Dharau iliyovuka Kiwango?
Usisahau huyo huyo aliyekupa Wewe huo Utajiri ndiyo huyo huyo pia amewapa wengine Umasikini. Sikutegemea Member kama Wewe kuwa na Kejeli hivi kama alizokuwa nazo Malkia Marie Antoinette wa Ufaransa.
Mpaka nimesema hivi jua umekera sana.