Aliyesema hii kauli malaika wamemzima yeye,tumuacheni apumzike kwa amani...sisi tunaendelea kuijenga upya nchi yetu.Wanaona ndiyo itakuwa njia ya kudhibiti mitandao maana kama waliwahi sema wanatamani siku moja malaika ashuke afumgie mitandao yoote watashindwaje kutukwamisha kwa kuongeza bei ya bundle?
Stupid😂😂
I didn't know nazungumza na small minded person..
Sijaona tija ya kunishambulia personally hapo..
Masiasa yetu tena, mimi na nani? Umesoma nilichoandika ukaelewa?
Kwa akili hizi ni bora uminywe bando tu.! Unajaza server bure tu!
Ukipata jibu nicheki tuwe wawili.Watu wa IT tunaomba mtueleweshe..hivi haiwezekani kuwa na access ya kununua internate bundles outside the country? Maana wanyonge tumenyongwa sana na Bei ya bundles..tunatamani kuhamia nchi jirani...We had no way out
Chizi Sana yuleWell said Daktari wa Meno, Baba Swalehe.
Out of topic, kulikuwa na MWEHU fulani anajiita Daktari wa Meno, kapotea sana siku hizi, hii long weekend ntaitumia kufukua makaburi yake
HahahhaWell said Daktari wa Meno, Baba Swalehe.
Out of topic, kulikuwa na MWEHU fulani anajiita Daktari wa Meno, kapotea sana siku hizi, hii long weekend ntaitumia kufukua makaburi yake
anatakiwa ajiuzulu tu, inaonekana kazi imeshamshindaWakuu,
Kama kweli tunaamini katika uhuru wa mawazo kama haki ya kikatiba, na kama kweli tunaamini katika uwajibikaji wa viongozi, basi naomba huyu waziri Ndugulile asome ninayoandika kama jinsi yalivyo.
Wewe waziri Ndugulile, waziri mwenye dhamana kwa niaba ya serikali; una akili timamu!?
Nauliza swali? Unazo zilizotimia?
Hivi, zile mbwembwe zote za kujigamba na kujitutumua kwamba mtahakikisha vifurushi vinakuwa vya bei nafuu, ndio matokeo yake haya tunayoyaona hapa?
Yaani wewe waziri, unaweza kuwafanya watanzania milioni zaidi ya sitini kuwa ni wapumbavu na mbumbumbu?
Ukakimbia kwenda kujitungia kanuni haramu na za kitapeli ili kuhalalisha wizi?
Ulisikia wapi dunia ya leo, data zinakuwa ghali namna hii?
Katika nyakati za utandawazi ambapo maisha yote yanategemea digital devices, kwanini ufanye uhuni wa namna hii?
Sifahamu lengo ni nini? ama ni mbinu za kubinya watu wasipate access ya mtandao?
Ndugulile, nikueleze tu kwamba, maisha ya watanzania wengi hayazunguki kwenye muhimili wa siasa pekee.
Kama lengo ni kuwabinya watu kisiasa, basi hilo ni lengo mfu lisilo na uhalisia.
Mitandao ndio maisha yetu, ndio chakula chetu na kipato chetu. Tusivurugane.
Tunahitaji vifurushi vishuke bei. TAFADHALI.
Huo ni mtazamo wako. Uandishi ni sanaa, kila mtu anapokea kwenye angle aliyopo. Namna ulivyopokea ndivyo ambavyo wewe ulivyoKumbe Bujibuji na ww unaandikaga ujinga eeeh....
Wishing you all the bestHahahha
We mzee upo , shule imenipoteza mzee wangu
Matumizi ya internet imekuwa anasa kweli dunia ya leo, kweli hawatutendie hakiHaya maumivu wao hawayaoni kwakuwa hali zetu na zao ni sawa na mbingu na nchi..kuna baadhi yao hawajui hata kwa mwezi wanatumia bei gk
Je unatumia kufanya shuhuli gani huko mtandaoni?Wewe kwako ni sawa ila kwangu sio sawa maana hiyo 30k nilikuwa na pewa zaid ya Gb 30 kwa mwez
Asante mkuuWishing you all the best
Nyie mlimfata Ndungulile akawapa ahadi hewa leo kawaachia msala 🤣Sawa Waziri Ndugu Faustine Ndugulile.
Huenda hata hizo bandle za 30k unazisikia kwa jirani au rafiki, hata hauja wahi kujiunga, siku zote fukara hujikweza mbele za watu ili kulinda heshima yake asidharaulikeTatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.
Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
AminaAliyesema hii kauli malaika wamemima yeye,tmuacheni apumzike kwa amani.