Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Hakuna aliyenipa utajiri.
Hivi mimi ninayetumia 30k kwa mwezi na hao wachambaji wa instagram wanaotumia buku 2 kwa siku × siku 30 nani anatumia pesa kubwa zaidi??
Ukiwajaji kwa jicho chongo hautajua faida wanayoingiza ila jua ile ni biashara ndio maana kwenye page zao utakuta matangazo ya biashara za watu.

By the way sio kila anaejiunga bando la kubu mbili kaz yake ni kuchamba watu online ebu muangalie yule mfanyabiashara ambae kila siku lazima apost bidhaa zake na awe online mda wote ili kuwasiliana na wateja wake, muangalie yule mwanafunzi anaetumia internet kutafta academic materials mbali mbali, muangalie yule mlinzi ambae kwake mda wa kukaa kuangalia tv hana zaid ya kupata habari kupitia sim yake, vip kuhusu yule kijana aliekuwa anatumia internet kwaajiri ya kitafta ajira na kufanya usaili online?

Vip kuhusu yule mwalim aliekuwa anatumia internet kutafta njia bora ya kufundishia? Vip kihusu huyo mama aliekuwa anajifunza ujasiliami kupitia mtandao?

Ebu fikria nje ya box utaona madhara yake
 
Mimi sioni unafuu mbona au tigo bado awajarekebisha?
IMG-20210402-WA0020.jpg
 
Huenda hata hizo bandle za 30k unazisikia kwa jirani au rafiki, hata hauja wahi kujiunga, siku zote fukara hujikweza mbele za watu ili kulinda heshima yake asidharaulike
Una GB14 kwa Siku30 @30000Tsh(VAT 4576.27Tsh thamani yake 25423.73Tsh).Piga*102*00# kuangalia salio


👆 hiyo nimejiunga jana na nitadumu nayo kwa mwezi mmoja.

Aisee Comrade kama mtu unalala juu ya mti kama mbayu-wayu usikariri kuwa wote tutakua tunalala juu ya mti kama wewe.
 
Tulitangaziwa na Idara husika TCRA
Kuwa ifikapo Tarehe 01.04.2021 viwango vya tozo ama mda wa maongezi na Internet vitakua vimeshuka... Tofauti yake ni kwamba, vimepanda kuliko ilivyo kuwa Awali. Bora ingeachwa vileeee vileeee tuuuu. Naona ilikuwa siasa.. [emoji2760][emoji2760]
#Where are we heading.......!!
 
Waziri, Wizara na Makampuni wamezingua. Hawakuangalia hili swala kwa uzito wake kabisa, wao wana allowances za vocha.
 
Ndungulile unafahamu kuwa wewe ni Mbunge wa Taifa kwa namna yako ya pekee jinsi ulivyopatikana?

Unafahamu kuwa wananchi wana matumaini makubwa toka kwenye utendaji wako?

Naomba usome na kutafakali haya machache kisha uchukue hatua, haki mawasiliano!
 
Je unatumia kufanya shuhuli gani huko mtandaoni?
Kama ni jambo la msingi huwezi kosa pesa ya kununua.

Wananchi wanaposikia watu wanakandamizwa na wenye mamlaka huwa wanajitenga kama haliwahusu, sasa leo hili la bundle limewahusu onyesheni kuwa nyie ndiyo wenye nchi.
Mambo mengi ikiwa pia na kutaftia connection za ajira na kujifunza mambo mapya kuanzia kiiman ha kijamii. Bundle la 4k lilinitosha mwez mzima ila kwa sasa haliwez kidhi matumiz yangu tena
 
Back
Top Bottom