Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Waliahidi kupunguza kwa hiyo badala yake wameongeza gharama maradufu?
 
NAHAMIA MTANDAO WA WANANCHI NIMEONA GB 8 KWA WIKI KWA TSH 5000/= tyuuu
 
Ndungulile unafahamu kuwa wewe ni Mbunge wa Taifa kwa namna yako ya pekee jinsi ulivyopatikana?

Unafahamu kuwa wananchi wana matumaini makubwa toka kwenye utendaji wako?

Naomba usome na kutafakali haya machache kisha uchukue hatua, haki mawasiliano!
Kalewa kwa mvinyo wa madaraka, kamwe hawezi soma huu uzi, ni mwiba mchungu kwake
 
Hata ukiniita stupid 1000 times, haiondoi maana una mindset problem.

Nakushauri while unanibeza, usisahau to take good care of yourself.
Relax stupid man [emoji16]

Et internet sio basic need walichofanya ni sahihi

USA dola 50 nlkua napata unlimited data by Us cellular sijui unaongea Nini hapa
 
Kwani Dr. Ndugulile aliagizwa na nani?
Ukinitajia aliagizwa na nani, nami nitakupa sababu ni kwanini!?.
Ni moja kati ya majukumu yake kusema aliagizwa na mtu huyo mtu wewe unamjua au unahisi tu?!
 
IMG_1433.png

asante Tigo, naona ngoma inogile
 
Bei ya leo ndiyo hiyo-hiyo GB 14 kwa 30k.

Vifurushi mnavyosumbuliwa navyo ni hivyo vya buku na jero-jero ila hivi vikubwa havina tabu.
Acha majigambo WEWE. Hiyo hela ya kifurushi inalipa chumba
 
Nyie ndiyo mnaturudisha nyuma enzi za ujima.
Matumizi ya Internet ni sehemu ya kujipatia kipato mtandaoni.
Wazee wenye fikra km zako ndiyo wamejaa BOT hata kutoruhusu PayPal. Kenya wameruhusu lkn mewazidi nin kiuchumi? Mezoea shida na umasikini
Acha kutumia simu sana hizi kero itaisha mimi nimehamia sehemu isiyo na network ya internet.
 
Daah maisha ndo haya tena
Now ni mwendo wa kujifunza ku hack free wifi.
 
Je unatumia kufanya shuhuli gani huko mtandaoni?
Kama ni jambo la msingi huwezi kosa pesa ya kununua.

Wananchi wanaposikia watu wanakandamizwa na wenye mamlaka huwa wanajitenga kama haliwahusu, sasa leo hili la bundle limewahusu onyesheni kuwa nyie ndiyo wenye nchi.
Thubutuni muone
 
Tulitangaziwa na Idara husika TCRA
Kuwa ifikapo Tarehe 01.04.2021 viwango vya tozo ama mda wa maongezi na Internet vitakua vimeshuka... Tofauti yake ni kwamba, vimepanda kuliko ilivyo kuwa Awali. Bora ingeachwa vileeee vileeee tuuuu. Naona ilikuwa siasa.. [emoji2760][emoji2760]
#Where are we heading.......!!
Makusanyo ya trillioni mbili kwa mwezi, siyo jambo jepesi hata kidogo. Lazima maandalizi yaanze mapema.
 
Back
Top Bottom