Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

chickmaget kwa lugha nyingine hutakuja uwanjani,si ndio?

kuja nitakuja mkuu ,lazima nije! Tuombe uhai....siwezi kukosa mechi ya timu ya Taifa. Mimi nacholilia ni hizi tiketi za elektronik ,naona mngeacha kwanza hii mechi muhimu ipite kisha ndo muanze kutumia hata kwenye ligi ..mtoe elimu vizuri. Kama mimi jinsi ya kununua hiyo ticket nimejua baada ya kutafuta sana mtandaoni ,lakini vipi yule shabiki wa temeke ambae hajui kutumia mtandao? Inamaanisha mechi ndo kaikosa ...na ndivyo jins mashabiki watazidi kupungua maana asilimia kubwa ya waendao uwanjani ni wa hali ya chini .... sjui umenielewa point yangu mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Salam sana;

Kwako mdau wa soka na wana jf wote kwa ujumla;

Nakuomba uisapoti TAIFA STARS ambayo inacheza na Msumbiji siku ya Jumapili
tarehe 20/07/2014 kwa kununua tiketi ya viti maalum kwa Tsh.50,000/=.

Nunua sasa hivi kwa ....... mpesa *150*00# kisha bonyeza 4, bonyeza tena 4, weka namba ya kampuni 173399,
kisha ingiza 50,000 kisha weka kiasi 50,000, ingiza namba yako ya siri kisha 1 kukubali.

Kiingilio kwa viti vya kawaida ni Tsh.7,000/=, tafadhali lipia kwa mpesa kwa kutumia utaratibu huo huo hapo juu.

Kwa heshima na taadhima nakuomba usambaze ujumbe huu kwa ndugu, jamaa na marafiki wote.

Asante kwa kusapoti TAIFA STARS!

Copy: Jamal Malinzi
@mtambuzi, AshaDii, Ritz, Kongosho, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, gfsonwin, chama cacico, Kaunga, Preta, ICHANA, MankaM, KOKUTONA, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Ruttashobolwa, kiwatengu, Kaizer, watu8, The Boss, Nyani Ngabu, Kiranga, Thomas Odera, KIBANGA, Elli, ayanda, mayenga, Eiyer, Ennie, sister, Ennie, Paloma, Nivea, Neylu, Mkirua, Asprin, Baba V, asakuta same, miss chagga, ladyfurahia, W. J. Malecela
Passion Lady, charminglady, mwallu, Nivea, Chocs, Erickb52, LiverpoolFC, PakaJimmy, MTAFITI Ntuzu, muuza ubuyu, Lady doctor, measkron, Excel, Young Master, Heaven on Earth, heaven on desert, Zion Daughter, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, nitonye, Washawasha, elly79, Blue G kabanga ICHANA, TEAMRafiki, TEAMbazaaz, The secretary
 
Nakuomba uisapoti TAIFA STARS ambayo inacheza na Msumbiji siku ya Jumapili
tarehe 20/07/2014 kwa kununua tiketi ya viti maalum kwa Tsh.50,000/=.

Hii kampeni imeanza lini?

Na kwa nini iwe ni bei moja tu ya 50,000/=?

Kama ni kampeni kweli bali nahisi harufu ya ufisadi maana hawa Taifa Stars tayari wanaudhamini na kampuni ya TBL.
 
Hii kampeni imeanza lini?

Na kwa nini iwe ni bei moja tu ya 50,000/=?

Kama ni kampeni kweli bali nahisi harufu ya ufisadi maana hawa Taifa Stars tayari wanaudhamini na kampuni ya TBL.

Kuchangia gani mnaweka hela nyingi...mngeweka viwango vya chini mpate wachangiaji wengi
 
Hii kampeni imeanza lini?

Na kwa nini iwe ni bei moja tu ya 50,000/=?

Kama ni kampeni kweli bali nahisi harufu ya ufisadi maana hawa Taifa Stars tayari wanaudhamini na kampuni ya TBL.

Kaka mkubwa hicho ni kiingilio cha VIP wale wa mzunguko..ni 7,000/=..nilivyoelewa mimi..nadhani hapa wanatakiwa wapige debe hicho kiingilio cha 7,000/=...nilimuuliza hili Jamal Malinzi..kule ktk uzi wa maswali na majibu...khs ukubwa wa viingilio...ila kikubwa twende tukashangilie STARS....mambo mengine vipi mkuu..hatuonani..?@Watu8
 
Last edited by a moderator:
Ni 5,000 au 50,000 ???? Sioni vizuri

Ni elfu hamsini kwa VIP.

Kawaida ni shs. Elfu saba. Lipia kwa mtindo huo huo wa mpesa.

Tujitoe kuishangilia timu yetu.
Tanzania ni yetu TAIFA STARS NI YETU.
 
Haaaaa haaaaaaa Anacheza na nani...

Acha utani huo.
Jamani na sie tunatamani kucheza kombe la dunia.
Mbona wengine wameweza sisi kwanini tushindwe?:
Twende pamoja kuishangilia TAIFA STARS.
 
Mkuu mimi ni mdau mkubwa wa soka letu, hivyo nitakuwepo taifa...

Mishe mishe zimekuwa nyingi mkuu...

Back
Top Bottom