ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
chickmaget kwa lugha nyingine hutakuja uwanjani,si ndio?
kuja nitakuja mkuu ,lazima nije! Tuombe uhai....siwezi kukosa mechi ya timu ya Taifa. Mimi nacholilia ni hizi tiketi za elektronik ,naona mngeacha kwanza hii mechi muhimu ipite kisha ndo muanze kutumia hata kwenye ligi ..mtoe elimu vizuri. Kama mimi jinsi ya kununua hiyo ticket nimejua baada ya kutafuta sana mtandaoni ,lakini vipi yule shabiki wa temeke ambae hajui kutumia mtandao? Inamaanisha mechi ndo kaikosa ...na ndivyo jins mashabiki watazidi kupungua maana asilimia kubwa ya waendao uwanjani ni wa hali ya chini .... sjui umenielewa point yangu mkuu?
Last edited by a moderator: