Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

kweli bora tufungwe yani timu ye2 haijajiandaa kimashindano hata tukikolify kwa kubahatisha tataenda kuaibike tu kama bra7 bora tufungwe tusikolify tujipange vizuri ili tukienda twende kuwin ehhhhhhhhhhh
timu ye2 ikikolify tutapoteza ela bure kwa kushiriki na kutolewa kwa aibu bora tufungwe yani ntafurahiiiiii

Kila mtu ana wazo lake na hili ni wazo lako, naliheshimu. Langu kuhusiana na wewe ni kwamba una ufinyu wa mawazo-hauoni kesho isipokuwa sasa. Hatutaweza kuanza kukimbia kabla hatujajifunza jinsi ya kutambaa. Naomba uliheshimu pia wazo langu.
 
Kwanza niseme kesho nitakuwepo uwanjani kwa nishakata tiketi yangu ya 30,000/= lakini napingana kabisa na uamuzi wa kufanya kiingilio cha chini kabisa 7000/= huu ni utani TFF wanafanya, wala uhitaji kuwa profesa kujua kuwa kesho uwanjani mahudhulio yatakuwa hafifu sana.

Hapa kuna tatizo tena kubwa mimi nilidhani busara ingekuwa ni kufanya kiingilio kuwa 3000/= hapo TFF ingepiga ndege wawili kwa jiwe moja kwani watanzania wangejitokeza kwa wingi sana kushangilia timu yao na pia uwanja ungejaa na mapato yangekuwa makubwa am sure maradufu zaidi ya mapato yanayoenda kupatikana kesho ukizingatia viti vingi kwenye uwanja wetu mpya vinakaliwa na watu wa hali ya chini zaidi ya viti arobaini elfu.

Malinzi kwa hili nadhani baada ya mechi utapata fundisho fulani.
 
Natamani siku ingefika tanzania nayo inashiriki world cup,na hili sio mimi hata wewe watamani,haijalishi hata tukipigwa saba sitojali,ila hapa nilipo natamani mawazo yenu yawaendee mh.malinzi,mh.raisi j.kikwete ili wasogeze gurudumu hili na mawazo ya wengi yapate kutimia
 
We should have information about the tomorrow's game here!

Ticket prices?? Ticket sale posts???..Jerseys?? aarrrgghhhh ANNOYED
 
SASA YASIJE YAKAWA YALE YALE YA KUAMBIWA UMESHINDA TICKETI YA KWENDA BRAZIL KUPITIA MPESA HALAFU UKIWAFUATA WANAKWAMBIA TULIKUWA TUANAJITANGAZA IKAWA ZOMBE BURE


CC Ntuzu MKUU NJOO HAPA UJIONEE SIJUI TUTAKWENDA WOTE UKO MOZAMBIQUE NINUNULIE TICKET TUMKOMOE MAMITO KANTWE



Aiseee!

Hapo tumechemka Bestito ladyfurahia coz FWEZA zooote Na ATM CARDS anakaa nazo my Dear Khantwe

Sasa hapo Sijui nimdanganyaje Huyu Khantwe ili nimtoe Hela?!! Nifundishe UONGO basi mamito!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kukumbusha Mamndenyi, natumai mtatuwakilisha.. Wengine twaishi vijijini, dsm hakufikiki kirahisi.
 
Last edited by a moderator:
Natamani siku ingefika tanzania nayo inashiriki world cup,na hili sio mimi hata wewe watamani,haijalishi hata tukipigwa saba sitojali,ila hapa nilipo natamani mawazo yenu yawaendee mh.malinzi,mh.raisi j.kikwete ili wasogeze gurudumu hili na mawazo ya wengi yapate kutimia

ahsante Future president tujipange,tutafika.
 
Last edited by a moderator:
ahsante Future president tujipange,tutafika.

Tutafika namna gani mheshimiwa rais wa TFF? Hili ndilo swali kubwa la kufanyia kazi, naomba sana katika uongozi wako hata utakapomaliza muda wako tuwe na kitu kizuri cha kujivunia ulichotuachia katika soka letu, kama nia tunayo basi na sababu ya kushiriki katika mashindano makubwa ya mpira wa miguu tunayo. Naomba ufahamu imani tuliyoweka katika uongozi wako ni kubwa hivyo usitufanye kitu kama cha kuamini mazoea ya uongozi katika soka ni yale yale naamini utashinda kwa kushirikiana na wadau wengine kupeleka maendeleo ya soka mbele hata kama sio kesho basi hata 2022 2024 2026 2028 watu waseme hizi ni zile juhudi za uongozi wa Jamal Malinzi zinafanya kazi.
Ahsante

Kobe.
 
Last edited by a moderator:
Kama tunataka tufike mbali lazima timu nzima la Taifa Stars ivurugwe na waingizwe wachezaji kutoka club tofauti bila kuwa na mtandao
 
mungu tubariki stars ishindiliwe magoli mengi na itolewe kabisaa
 
Back
Top Bottom