Nashukuru kwamba hoja yangu imewafikia wengi na ndio maana wako waliojaribu kui-personalize hii issue na kuitoa hii debate kuwa ya issues na badala yake kuwa ya personalities. Ukweli umebaki pale pale kwamba mtu huyu aliyetuhumu hakuzingatia yale matakwa ya "he who alleges must prove".
Yule muungwana aliyetuhumu akidai kwamba anaifanyia kazi hii issue kwa kuleta ushahidi ameshangaza maana nilidhani alitakiwa afanye kwanza research kabla ya kuanzisha mjadala. Ilivyo sasa hivi mtu hahitaji akili nyingi kujua kwamba haya yalikuwa majungu ambayo ni rahisi sana kujua yanalenga nini. Kwanza hata ukiangalia huu mjadala utagundua kwamba mtu anayejadiliwa hapa ni mmoja tu pamoja na kwamba kichwa cha habari kinataja watu wawili. Ghafla huyu wa pili hajadiliwi wala facts zozote (hata zile za uongo kama za zile zitolwazo dhidi ya membe) hazitolewi dhidi yake.
Mimi bado narejea kwamba aliyeanzisha mjadala anajua kwamba alizua hili nalengo lilikuwa ni kummaliza membe si kwa sababu ya dhambi za kiuadilifu bali ni kwa sababu ya dhambi ya kudhaniwa atagombea urais! Na ndiyo maana sasa issue nyingine ya mradi wa magadi au sijui ni mradi gani ule wa manyara uliotajwa hapo juu imeibuliwa kujaribu kuweka uzito na kutoa credence kwa concoction hiyo. Mimi nasisitiza kwamba JF ni nyumbani kwa watu wenye kutafiti na kuja na hoja zenye nguvu na siyo chombo cha mtu kuonyesha chuki yake kwa mtu hata kama tunachukia sura yake. Hapa tunajadili hoja.
Lakini cha kushangaza tena ni kwamba membe hakuuanzisha mradi huu. Wazo la ID lilianza toka serikali ya awamu ya kwanza na utekelezaji wake ukaanza awamu ya pili kwa kuteuliwa kwa consultant ambaye leo hii anaitwa tapeli na wajuaji. Membe alikuwa naibu waziri kwa miezi kumi. Kama uhusika wake unatokana na wadhifa huo, kwa nini aliyekuwa waziri wake hahukumiwi?
Mwisho najiuliza hii audit inayofanyika juu ya uhalisi wa majina likiwemo langu imelenga kwa members wote au ni mimi Mbopo peke yake. Hivi haw akina Dua, Kada Mpinzani, Samvula Chole kutaja mifano michache tu ni majina halisi? Je wameshahojiwa uhalisi wao? Mimi nadhani JF isiruhusu dhambi hii ya ubaguzi inyemelee. Nihukumiwe kwa hoja zangu na siyo uhalisi wa jina langu.
Mbopo karibu sana mheshimiwa. usijidanganye nchi yetu inaweza kuongozwa na MBOPO.
unachokifanya sasa ni kuwadanganya wananchi kuwa una uwezo wa kuwa Rais wa nchi yetu nzuri. kuna sehemu ulisema marais waliopita Ben na JK walikuwa mawaziri wa nchi za nje sasa na wewe unatajwa kwa sababu hiyo huku ukijitaja mwenyewe.
MBOPO Ben Mkapa hakutoka mambo ya nje ndio akawa rais alipita sehemu nyingi sana na kama sikosei mara ya mwisho alitokea Wizara ya Habari, pia Mbopo elewa kuwa Mkapa hakuwa na dhamira ya urais ni mtu aliyebebwa na Mwalimu Nyerere.
Mkapa ni mtu ambaye kauokota urais hakutumia gharama yeyote na alipokuwa Foreign hakuwa na wazo hilo Mwalimu alimtaka DR.Salim kuwa rais.
JK alikuwa na dhamira ya urais kabla ya kuingia wizara ya Mambo ya Nje na kama Mwalimu Nyerere asingemfanyia roho mbaya angekuwa rais mwaka 1995.
Hivyo utaona kuwa JK alishajipanga kuwa Rais kabla ya kuingia Foreign.
Mbopo usilete ujanja huo kujipigia chapuo kuwa kila waziri wa mambo ya nje lazima awe rais, kama hivyo awe Migiro tena huu ni wakati wa Gender upo MBOPO?
Mbopo urais wewe huwezi kupata kwani wewe ni mkatoliki na tumekuwa na marais wakatoliki wawili-Mwalimu na Mkapa jee mnataka kila rais mkristu awe katoliki?
kwanini tusiwe na rais Msabato, Anglikana au Lutheran? na madhehebu mengine?
Mbopo unajifanya kuvaa msalaba wa cheni ya Dhahabu kama Mkapa halafu unavaa miwani kama JK yote hiyo kujifanya nawe ni Rais.
Mbopo unatoka Lindi kusini ya Tanzania na Mkapa katoka jirani yako kwanini tusipate rais toka Musoma ili kumuenzi baba wa Taifa? au hata Mbeya au Dodoma? hupati Mbopo.
Mbopo unasema unachafuliwa bila sababu jee tukutajie watu uliowachafua? jee uliwachafua kwa vile wanataka kugombea urais?
kwanini unamnyima raha Magufuri? sio wewe ulikuwa ukiwatumia kina Salva Kumchafua wakitumia Rai na Mtanzania?
Mbopo huwa unajifanya mtu wa karibu wa JK unawatuma waandishi wa habari waandike kama wewe ndie mtu pekee wa karibu wa JK,kwanza unajitukanisha Mwanaume Mzima kujifanya uko karibu sana na Mwanaume Mwenzio.
mama Salma Kikwete atakuwa na nafasi gani kama wewe ni mtu wa karibu wa JK?
nilifuatilia thread ya Asha Rose Migiro ambapo Mtalii alikuweka wazi na akaweka kopi ya gazeti la Tanzania Daima ambapo ulikuwa unajitabiria uwaziri wa Mambo ya nje.
Nilishangaa hivi karibuni kukuona MBOPO ukiongozana na Mhariri wa Tanzania Daima bwana Balile mkienda Marekani hii inaonesha kuwa yaliokuwa yakiandikwa Tanzania Daima wewe ndiye ulikuwa ukimuelekeza.
Mbopo ni wewe uliyekuja hapa kubisha ndio maana nguvu ikawekwa kwako. unalalamika nini eti kuwa mbona Lowassa hasemwi?ukishikwa wizi kufa kivyako kama anavyokufa Balali, jee wewe katika utetezi wako mbona hukumtetea Lowassa ambaye ni waziri mkuu wako au nae unamuona hana kitu wewe ndio uko karibu na JK?
wewe umeingia kwenye mtandao umemkuta EL. leo unajifanya mjanja na kumuona EL ni mjinga?acha kuwatuma vibaraka wako ambao wanatishia watu kuwa wewe ndio mtandao na watendaji wengine hawana maana.watu wako wameripotiwa mara nyingi tu kwa EL.
Mbopo tunaomba jibu ile nyumba uliompa yule mdada ambaye ni mbunge au nayo ni fitina kwa vile wewe utakuwa rais?
MBOPO NJOO hakuna majungu ukishindwa aje Assah Mwambene.
MASATU.
maneno yako utafikiri ni Mswahili wa uswahilini jina lako ni la watu wa maana sana katika nchi hii usiandike utumbo.
Professor Warioba ulikata awe VC wa maisha? amefanya miujiza ya kukiinua chuo hadi kuwa University mahiri Afrika Mashariki mwacha akapumzike na subira miaka miwili utamsikia yuko wapi? hao ndio watu tunaweza kuwapa urais kwani wamefanya makubwa sio MBOPO wako mtu wa majungu tu.
usishangae kusikia Professor Warioba kapewa nishani ya Nobel. huyo Mbopo huko Usalama wa Taifa hakuwahi kuwa mkurugenzi anajipakazia tu.