Ndugu yangu Nungwi nimekusoma na sipati shida sasa kuelwa kwamba kumbe wewe ni wakala wa nani. Kinachonisikitisha tena na kule kuendelea kuishushia hadhi JF. Mimi hoja yangu ni rahisi sana: Kwamba hakuna chcochote kinachounga mkono hoja ya kugombea vitambulisho na majadala wako hapa umedhihirisha kwamba hapa vita siyo ID ni urais na ndiyo maana sasa umeamua kuwa wazi kueleza kwamba Membe hafai kuwa rais na kwa nini. Lakini huko ni kupoteza muda bure kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe amekwishasema kwamba hana mpango nacho. Whether sababu za kusema hana mpango nacho ni sababu ulizzotoa au sababu nyingine hatujui lakini ni vema ukajua kwamba unapigia kelele na unakerwa na kitu ambacho yeye si mshindani.
Ndugu yangu naomba nikuarifu kwamba fikra kwamba Mbopo ni Membe ni case ya mistaken identity. Mbopo ni Mbopo na wala si Membe na kwa hiyo kama wewe una ugomvi naye basi unayemtukana humu si Membe. Narudia tena kwamba hoja na tuhuma za ugomvi wa ID ilichochewa na hofu ya urais tu na si vinginevyo. lakini pia ninaomba nikuonye hapa kwamba wewe kama mtu msomi na mwenye utashi kwamba hoja haiwi bora kwa kumtukana mtu au kumvunjia mtu heshiam yake. Mimi kama mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali ya JF nimeona kwamba hoja zilizoshinda ni zile ambazo mijadala yake ilikuwa ya kistaarabu na yenye ushahidi makini na si kukurupuka kwa ajili ya kulipa deni ya kutumiwa kama mpambe. Simfahamu sana Membe na sihitaji yeye kunifahamu kuweza kujua kwamba hapa anpigwa vita kwa vitu visivyo vyake.Kwanza hata huo mradi wenyewe kandarasi yake haijatolewa.
Ndugu yangu, mimi nakushauri ufuate mfano wa watu kama mwanakijiji ambaye hushusha hoja zake bils jazba na huchukua muda kutafiti kila anachopanga kusema na ndiyo maana nyingi ya hoja zake huenda hata kwenye magazeti na kusisimua wasomaji. Ukweli unabaki palepale kwamba mzee unalazimisha hoja na kila anyejaribu kuwa objective kama mimi na Masatu tunakoga matusi na kashfa zako mzee. NARUDIA KUSEMA MZEE MMECHEMSHA NA SASA HOJA IKO WAZI, NI URAIS NA HOFU YA WALIOKUTUMA. LAKINI WAAMBIE WASIHOFU, MEMBE HAYUKO KWENYE RACE, WALALE TU VIZURI MZEE.
FD wewe na Mbopo wako ndio mtakao kimbia naona unataka kumponza MBOPO.
MBOPO mheshimiwa Lowassa amesemwa sana humu kwenye JF kuliko wewe.najua FD na Mbopo wote mmetoka chuo kisicho na hadhi Tz.
FD ulikaenda tena Canada mkawa na Mbopo mkamfanyia fitina Kitine.
Mbopo jiandae kujibu hoja usije kukimbia au kumpa kazi Assah Mwambene kuja hapa badala ya kufanya kazi ya wizara.
Mbopo hongera kwa kuchaguliwa mkuu wetu AU.
Ndugu yangu Nungwi nimekusoma na sipati shida sasa kuelwa kwamba kumbe wewe ni wakala wa nani. Kinachonisikitisha tena na kule kuendelea kuishushia hadhi JF. Mimi hoja yangu ni rahisi sana: Kwamba hakuna chcochote kinachounga mkono hoja ya kugombea vitambulisho na majadala wako hapa umedhihirisha kwamba hapa vita siyo ID ni urais na ndiyo maana sasa umeamua kuwa wazi kueleza kwamba Membe hafai kuwa rais na kwa nini. Lakini huko ni kupoteza muda bure kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe amekwishasema kwamba hana mpango nacho. Whether sababu za kusema hana mpango nacho ni sababu ulizzotoa au sababu nyingine hatujui lakini ni vema ukajua kwamba unapigia kelele na unakerwa na kitu ambacho yeye si mshindani.
Ndugu yangu naomba nikuarifu kwamba fikra kwamba Mbopo ni Membe ni case ya mistaken identity. Mbopo ni Mbopo na wala si Membe na kwa hiyo kama wewe una ugomvi naye basi unayemtukana humu si Membe. Narudia tena kwamba hoja na tuhuma za ugomvi wa ID ilichochewa na hofu ya urais tu na si vinginevyo. lakini pia ninaomba nikuonye hapa kwamba wewe kama mtu msomi na mwenye utashi kwamba hoja haiwi bora kwa kumtukana mtu au kumvunjia mtu heshiam yake. Mimi kama mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali ya JF nimeona kwamba hoja zilizoshinda ni zile ambazo mijadala yake ilikuwa ya kistaarabu na yenye ushahidi makini na si kukurupuka kwa ajili ya kulipa deni ya kutumiwa kama mpambe. Simfahamu sana Membe na sihitaji yeye kunifahamu kuweza kujua kwamba hapa anpigwa vita kwa vitu visivyo vyake.Kwanza hata huo mradi wenyewe kandarasi yake haijatolewa.
Ndugu yangu, mimi nakushauri ufuate mfano wa watu kama mwanakijiji ambaye hushusha hoja zake bils jazba na huchukua muda kutafiti kila anachopanga kusema na ndiyo maana nyingi ya hoja zake huenda hata kwenye magazeti na kusisimua wasomaji. Ukweli unabaki palepale kwamba mzee unalazimisha hoja na kila anyejaribu kuwa objective kama mimi na Masatu tunakoga matusi na kashfa zako mzee. NARUDIA KUSEMA MZEE MMECHEMSHA NA SASA HOJA IKO WAZI, NI URAIS NA HOFU YA WALIOKUTUMA. LAKINI WAAMBIE WASIHOFU, MEMBE HAYUKO KWENYE RACE, WALALE TU VIZURI MZEE.
Ndugu washirika wa JF. Mimi ni msomaji mzuri na wa muda mrefu sana wa mtandao huu. Kwa kiasi kikubwa huwa navutiwa sana na michango mbali mbali inayotolewa na washirika wa JF kwani huwa inaleta changamoto ktk hoja zinazoendelea nyumbani.
Hivi karibuni kuna mshirika mmoja alituletea hoja kuhusu mradi wa vitambulisho vya uraia wa watanzania wenye kicha cha habari, "Membe na Lowassa Wagombania Mradi wa ID."
Watu wengi walitoa mchango wao wa mawazo kwa kile ambacho wao wanakiamini kuwa ni sahihi. Ghafla mjadala huu uligeuka toka kwenye dhana ya ufisadi ktk mradi, ukahamia kwenye siasa, na hasa ktk nafasi ya urais kwa muhula ujao.
Mimi nadhani ni mapema sana kuanza kujadili nafasi ya kiongozi wa juu ktk nchi wakati huyu aliyeko hajamaliza muda wake, lakini la msingi zaidi, ningependa kuwashauri ndugu zangu kuwa, tunapoletewa taarifa ya jambo fulani, ni vema tukalifanyia utafiti wa kutosha kabla hatujaliweka hadharani. Madhara ya kukurupuka na kuweka mambo ktk mtandao bila ya kuyafanyia utafiti wa kina yanatpunguzia hadhi iliyojengwa kwa muda mrefu sana.
Tunamuomba mtoa hoja atualetee jina la kampuni ya Membe anayodai imesajiliwa Marekani na kuongozwa na Mwikalo. Tayari Mwikalo kupitia mtandao wa Tanzanet amekanusha kumiliki kampuni yeyote hapa duniani, je mtoa hoja hii mbona hajaleta ushahidi wa hiyo kampuni?
Tahadhari: Tusikubali kutumiwa na viongozi wachache kuchafua majina ya watu kwa maslahi yao binafsi. Tulinde heshima ya JF kwa kuandika mambo ya ukweli kwa manufaa ya nchi yetu.
Assalam Alleykhum...

Nadhani tunachojadili hapa ni ufisadi na sio kujigeuza sie kuwa chombo cha sheria na kutoa hukumu. Unaonaje kama tukimuomba mtoa hoja hiyo atuletee majina ya kampuni ya Lowassa na ya Membe/Mwikalo ili tuangalie kama kweli makampuni hayo yameorodheshwa ktk mchakato huo wa zabuni ya vitambulisho? Maana tusipokuwa na ushahidi basi kila mmoja atakuja na stori zake za kusadikika na hivyo kupotosha ukweli
Icadon,
Mwaka 1995 JK alijitumbukiza ktk kinyang'anyiro cha Urais, hivyo hakukuwa na kificho ktk harakati zake. Kwa kigezo hicho, mimi nadhani kama tunataka kuwa "fair" ni vema tukawajadili wale waliovuka mpaka ktk nafasi 3 za mwisho na kumfanya JK kuibuka mshindi kwa kishindo. HAPA KAMA TUMEAMUA KUJADILI MAMBO YA SIASA ZA NYUMBANI, lakini naomba tusitoke nje ya mada yenyewe, "MEMBE NA LOWASSA WASHINDANIA MRADI WA ID" Hebu tujaribu kuwa makini kidogo na suala lenyewe kwanza, maana kwangu mimi nauchukulia mradi wa vitambulisho nauona kama ni "nyeti" sana