FD.
umewekewa mjadala wetu kuhusu Suzane ulibisha sana baadae ikawa kweli mbona hukuomba radhi kwa kutudanganya? nilikwambia miezi mitatu kabla kuwa Tido kampa kazi S.MUNGI ukajaa juu kama mwanamke aliye kwenye siku zake.na kusema tuache uzushi. ukweli upolidhihiri ukakaa kimya.

Kiswahili changu kweli ni kibofu lakini si wewe uliyesema waende jikoni wakapike na wawaache WANAUME BARAZANI? Au uliteleza Mkuu kama sisi wengine binadamu?
Mzee, Barazani kuna "wanawake na wanaume" kusema wakapike ina maana hawana point! au zimeeisha. Soma katikati ya mistari.
Masatu.
Umeshindwa kujibu hoja sasa unaweka mapicha. mpelekee mheshimiwa MBOPO au Joti.
Mzee, Barazani kuna "wanawake na wanaume" kusema wakapike ina maana hawana point! au zimeeisha. Soma katikati ya mistari.
Basi yaishe lakini ukweli uliteleza Mkuu! Ulisema wabaki wanaume barazani. Hakuna cha katikati ya mstari. Lakini yaishe.
Wana JAMBO FORUMS
Kwanza kabisa ningependa kukuombeni radhi kwa kukaa kimya cha miezi 3 kwenye hii thread na kutokuja na ma jibu yoyote yanayoeleweka. Before everyone gets all dizzy with orgasmic excitement over "OMG here's PROOF MEMBE na LOWASSA wanagombania mradi wa id card" or up in arms about it. I suggest we look at this issue objectively.
1 Sources wangu wameprove kuwa si watu wa kuwategemea kwani wamenilitea information ambazo nimezifanyia kazi na kugundua kuna mapungufu mengi tuuu
2 Sipendi kuchafuliana majina na hakuna sheria inayomkataza MEMBE kutokuwa na urafiki wa karibu na bwana MWIKALO. After all JK ana urafiki na BUSH
3. Ni kweli Membe alitaka kuleta system ya gharama kubwa kuliko proposal ya LOWASSA
4 Sina ushahidi wa kutosha kuwa MEMBE alimpangisha nyumba yule mbunge wa CCM kule Dodoma
5 Sina ushahidi wa kuonyesha wazi kuwa MEMBE anazo shares kwenye kampuni ya GHOST TECHNOLOGY
In my opinion, it is now beyond dispute that MEMBE hana kampuni ya kutaka kusambaza vitambulisho Tanzania, in short, I am willing to be the FALL GUY kwa sababu maneno yangu yame led huge distrust of waziri MEMBE among JF readers na posters on the basis of erroneous information ambayo kusema ukweli i methodically propagated and that culminated kwenye hiii ya Mheshimiwa waziri kutukanwa matusi ya NGUONI.I refuse to be a part of this and i wont be a part of this unless kuna evidence ambazo mtanipa ili niweze kussuport my initial arguments
Sina uhakika kama aligombana na LOWASSA na kama tunataka kurudisha heshima ya hii forum either hii thread ifutwe au ifungwe unless kuna mtu yuko tayari kunitumia evidence kwenye e-mail yangu hii hapa:
magomeni@googlemail.com
then nitakapo ridhika naweza kuzungumza na wahusika tuirudishe hii thread

Nadhani tayari amedhibitiwa na bwana Membe.
ushahidi nitauleta mimi,wewe pumzika tunakushukuru kwa michango yako.
mada isifungwe mimi nitauleta ushahidi.
nyumba aliyompa huyu binti wabunge wote wanajua iko area d unataka ushahidi gani? ni ya ghorofa.