JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
...mradi wa ID SIO muhimu kwa sasa ...umepitishwa ili membe apate pesa za kutunisha mfuko wake....si ndio anayemsaidia muungwana kila kitu siku hizi...mshauri mkuu!!!....waziri mkuu wa muungwanas KITCHEN CABINET,,,si mnajua hata pinda hana hiyo bahati ya kuwa kwenye kitchen cabinet...
Mkandara.
Usimshangae Membe hata Mwalimu Nyerere aliamini kuwa Mkapa ni clean.
ufisadi mbaya ni pale Membe anapoweka BILION 250 kuliko BILION 150 ambazo ndizo gharama halisi za Mradi.
kumuweka MWIKALO kuwa sehemu ya hiyo project wakati Mwikalo ni kati ya watu ambao wako kwenye timu yake ya urais(MEMBE).
na inaaminika kuwa Mwikalo ni raia wa Marekani na alimsomesha Masters Bwana Membe huko Marekani.
Serikali inabidi kusitisha haraka na kuunda tume ya kufuatilia Mradi huu wa Bwana Membe.
wabunge wa upinzani tieni mkono hapa.
GT
keep it up naona FIKIRADUNI alisema ni udaku juu ya mada hii na sasa anaonekana yeye ndio mdaku.ilitakiwa kazi yako(GT) ulipwe na Raia Mwema kwa kukopi kazi yako.
Hizo pesa ni kiasi gani kwa dola au £ Sterling............ Naona calculator yangu imejam.
nungwi: said:Mkandara.
Usimshangae Membe hata Mwalimu Nyerere aliamini kuwa Mkapa ni clean.
ufisadi mbaya ni pale Membe anapoweka BILION 250 kuliko BILION 150 ambazo ndizo gharama halisi za Mradi.
GT, Kamundu, we don't even need to think of database security and maintenance; just imagine how these two pipo on GT's post are going to keep their ID-cards from damage!kamundu said:...hatuna zip code system ya kujua mtu anaishi wapi hii project haitasaidia
GT, Kamundu, we don't even need to think of database security and maintenance; just imagine how these two pipo on GT's post are going to keep their ID-cards from damage!
We need to improve living standard of our pipo before rush to multi-billion ID project.