Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 55
Spika amesema hotuba inaanza saa 6.kamili saa za Afrika Mashariki.
Na itakuwaje JK akilivunja Bunge? Siamini kama atagusia masuala ya Ufisadi labda kwa mbali suala la Zanzibar. Anyway, tungoje tuone nini atagusia!Leo ndio atjulikana the real JK.....hii hotuba ya leo aidha itamrudishia popularity au ndio itazidi kumwangusha...
Nimejaribu kila namna kuweza kuyarusha matangazo haya moja kwa moja hapa JF lakini nimechemsha kwakuwa ISP wangu IP aliyonipa inaonekana iko shared hivyo kufanya podcasting inaniwia ngumu.
Natumaini watu tutaendelea kushirikishana hapa. Nabadili ISP leoleo na JF itaanza podcasting soon and it will be free. Matukio yote muhimu yatakuwa yanarushwa hapa moja kwa moja. Nawashukuru kwa ushirikiano na kumradhi kwani kwa leo nimechemsha kabisa.
WildCard tafadhali keep people updated!
Na itakuwaje JK akilivunja Bunge? Siamini kama atagusia masuala ya Ufisadi labda kwa mbali suala la Zanzibar. Anyway, tungoje tuone nini atagusia!
Mimi najua tu kwa vile jamaa ni msanii kutoka bagamoyo sitegemei kipya.Na siku zote watu mnapo kuwa na hamu ya kujua nini kitakacho zungumzwa na kubashiri huku na kule utasikia mambo ya kawaida yatakayo zungumzwa hapo....Lakini hii ni chance mojawapo ya JK kurejesha imani kwa walio mpa kibarua hapo magogoni.
kaam kiongozi makini alitakiwa aome alama za nyakati/asome mwelekeo wa wananchi maana takribani wk hii nzima wananchi wanamsubiri awajibu swali walilomuuliza kuhusu ufisadi hata kama hapendi... wananchi, vyombo vya habari wikii hii nzima wanaongelea mazungumze yake ya leo kwa matumaini ya kuwa atatoa fate ya mafisadi.... asipofanya hivo hatakuwa amjishusha... atakuwa amepoteza umaarufu wake ndani na nje wa nchi tena atachafuka kuliko jangili lisilo soni mkapa
Sasa hii source yako ya habari mbona ime-base kwenye sehemu moja tuu, nashindwa kushawishika kwamba muungwana ataongelea swala moja tuu, halafu kama nitakuwa sikosei hotuba hiyo source wako amekupa kwenye copy iwe soft au hard kwa kuwa haiwezekani katika chit-chat ukawa na uwezo wa kukumbuka takwimu zote hizo, sasa kama ni hivyo basi imwage hiyo hotuba janvini, waungwana waione na waijadili........kama tarehe imekosewa wasiliana na Mwanakijiji.
Ambao mnapata shida kusikiliza bonyeza HAPA