Uchunguzi wa makampuni 22, makampuni 9 uchunguzi wa ndani umekamilika ila wa nje bado. Police itashirikiana na Interpol kukamilisha. Kamati imeomba kibali kuendelea na uchunguzi mpaka watakapopata report ya Interpol-Ombi limekubaliwa
Makampuni 13 yaliyobaki, waliokwapua kadiri ya 90b, yamebanwa, wamenyanganywa passport, mali na hata magari yamekamatwa. Mapaka 18 August 53.7b zimeshakusanywa na zimerejeshwa. Waliobaki wameahidi kulipa mpaka mwishoni mwa October 08, 74% ya pesa itakuwa imesharudishwa.
Raisi ameagiza wasiolipa mpaka hiyo October 08, wapelekwe mahakamani!!!!!!!!!