FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
2010 naomba jamani wote tupigeni kura tusiache wapiga kura wachache watuharibie nchi....tuingie wote katika hii battle tuiokoe nchi yetu jamani..tunadharaulika hivi hivi..na tukidharauliwa tunakasirika...Please Please Please!! tusibaki kulalamika tu..tutumieni nguvu tuliyonayo ambayo ni kubwa kuliko hii ya kupayuka kwa maandishi.....kura is everything ..kura is the only thing ambayo ita tu save watanzania na shida zote hizi za viongozi kama hawa........yaani leo nimetamani kutoa chozi!!

Jamani punguzeni kejeli kwa JK ni rais wetu huyu jamani.
Hata hivyo hakupata zero jamani.
Mi ninampa maksi 41%
Amejitahidi.
Hii kauli mbiu mbona inakinzana na Katiba!
Tatizo asilimia kubwa ya watanzania imeridhika na hali ya umasikini na ufukara iliyopo nchini, Watanzania wengi wameridhika na jinsi nchi inavyoendeshwa kigoigoi, watanzania wengi wameridhika na uongozi wa kifisadi na kijambazi wa CCM. Watanzania wengi ni waoga, wamezubaa, wamepumbaa na wasioona tatizo lolote kwenye uongozi wa nchi yetu.
Asilimia yetu hapa JF tunaopiga makelelele ni ndogo sana kulinganisha na wengi wanaoona kila kitu kiko sawa. Tuna safari ndefu, safari isiyo na matumaini, safari ya maumivu.
Tumejiandaa kumpata huyo kiongozi wa kuumpa huo uongozi? ama tumpe nani nchi hii? nilishauri sana tena sana tuanze mchakato mapema wa kumpata kiongozi mbadala badala ya kulalama bila hoja,
Hizi kelele zetu ni kichekesho kwa CCM, tunaendelea kuwapa kichwa na kuwafanya wao ndiyo waamuzi wa mambo yetu, sawa sijui kama tutafika.
Akasema hana maana hiyo, na watu wakaangua vicheko
Mimi si mshabiki wa Kikwete, ila nashangaa kuona watu wengi wanavyoandika kwamba hotuba yake ilikuwa haina taarifa ya maana wala mwelekeo ndani yake. pamoja na kwamba ninaheshimu maoni binafsi, hivi kweli kwa kukataa yote hivi hivi hatujengi tabia ya opposition for the sake of opposition? Kwangu mie naona kama amefanya kazi kubwa sana ya kuwaondolea wananchi wengi wasi wasi, na maelezo yake juu ya utekelezaji wa EPA angalau ulinipa matumaini kwamba serikali inajitahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria ni siyo kufukuza wala kufunga watu ovyo ili kuwaridhisha waandishi wa habari na malcontents wengine.
Jamani punguzeni kejeli kwa JK ni rais wetu huyu jamani.
Hata hivyo hakupata zero jamani.
Mi ninampa maksi 41%
Amejitahidi.
Jamaa alipotuwekea neno "kauli mbiu...."
Nimecheka sana! Dah!
.