Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Jamani punguzeni kejeli kwa JK ni rais wetu huyu jamani.

Hata hivyo hakupata zero jamani.

Mi ninampa maksi 41%

Amejitahidi.
 
2010 naomba jamani wote tupigeni kura tusiache wapiga kura wachache watuharibie nchi....tuingie wote katika hii battle tuiokoe nchi yetu jamani..tunadharaulika hivi hivi..na tukidharauliwa tunakasirika...Please Please Please!! tusibaki kulalamika tu..tutumieni nguvu tuliyonayo ambayo ni kubwa kuliko hii ya kupayuka kwa maandishi.....kura is everything ..kura is the only thing ambayo ita tu save watanzania na shida zote hizi za viongozi kama hawa........yaani leo nimetamani kutoa chozi!!


Tumejiandaa kumpata huyo kiongozi wa kuumpa huo uongozi? ama tumpe nani nchi hii? nilishauri sana tena sana tuanze mchakato mapema wa kumpata kiongozi mbadala badala ya kulalama bila hoja,

Hizi kelele zetu ni kichekesho kwa CCM, tunaendelea kuwapa kichwa na kuwafanya wao ndiyo waamuzi wa mambo yetu, sawa sijui kama tutafika.
 
2010 naomba jamani wote tupigeni kura tusiache wapiga kura wachache watuharibie nchi....tuingie wote katika hii battle tuiokoe nchi yetu jamani..tunadharaulika hivi hivi..na tukidharauliwa tunakasirika...Please Please Please!! tusibaki kulalamika tu..tutumieni nguvu tuliyonayo ambayo ni kubwa kuliko hii ya kupayuka kwa maandishi.....kura is everything ..kura is the only thing ambayo ita tu save watanzania na shida zote hizi za viongozi kama hawa........yaani leo nimetamani kutoa chozi!!

Wakunyuti...Kampeni ya UHURU INAANZA MARA MOJA.

Kila Mtanzania kijana anayejiweza na mwenye afya njema ana majukumu ya kufanya...Hatuna UHURU kama Mh Rais atakuja na kuongea na wananchi kama puppet na si kiongozi wa nchi.

Hata Spika 6 ameonyesha ccm imeagawanyika na ukweli ni kwamba...Wanamtandao ambao wengi wao ni mujahideen....Then mambo si mazuri.

TUNATAKA UHURU KAMILI.

Kila mtu aanze kufikiri kuwa sasa ata play part gani kwenye madai haya ya UHURU....Madai ambayo tunaanza kwa AMANI...

IN THE NAME OF PEACE....FREEDOM WILL PREVAIL...PROVIDED WATANZANIA WAMEAMKA.

Wakunyuti....Kama watanzania hawajahamasika...Basi hatuna la kufanya.

Na hivyo basi...Uchaguzi wa 2010 ni wa muhimu sana....Kama watanzania watayarudia makosa....Basi na mimi najichukulia zangu uraia wa marekani ili nisahahu Tanzania kabisa.

Si juzi tu hata Wangwe KAUWAWA?
 
Jamani punguzeni kejeli kwa JK ni rais wetu huyu jamani.

Hata hivyo hakupata zero jamani.

Mi ninampa maksi 41%

Amejitahidi.

Hatuwezi kukaa hapa na kumsifia mtu ambaye ni zero, sidhani kama tunamkejeli bali tunamuita kulingana na uwezo wake, tena ni heshima kubwa sana kwake kwa sababu wengi wetu tumeshatambua uwezo wake kwa hiyo hatutotegemea mengi kutoka kwake.
 
To do great things is difficult but to command great things is more difficult. However to be a great leader and so always master of the situation, one must of necessity have been a great thinker in action....and a good leader not only sees the way to achievement he/she also knows when the triumph is impossible to attain.
 
To do great things is difficult but to command great things is more difficult. However to be a great leader and so always master of the situation, one must of necessity have been a great thinker in action, and a good leader not only sees the way to achievement he/she also knows when the triumph is impossible to attain.
 
Mimi si mshabiki wa Kikwete, ila nashangaa kuona watu wengi wanavyoandika kwamba hotuba yake ilikuwa haina taarifa ya maana wala mwelekeo ndani yake. pamoja na kwamba ninaheshimu maoni binafsi, hivi kweli kwa kukataa yote hivi hivi hatujengi tabia ya opposition for the sake of opposition?

Kwangu mie naona kama amefanya kazi kubwa sana ya kuwaondolea wananchi wengi wasi wasi, na maelezo yake juu ya utekelezaji wa EPA angalau ulinipa matumaini kwamba serikali inajitahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria ni siyo kufukuza wala kufunga watu ovyo ili kuwaridhisha waandishi wa habari na malcontents wengine.
 
Tatizo asilimia kubwa ya watanzania imeridhika na hali ya umasikini na ufukara iliyopo nchini, Watanzania wengi wameridhika na jinsi nchi inavyoendeshwa kigoigoi, watanzania wengi wameridhika na uongozi wa kifisadi na kijambazi wa CCM. Watanzania wengi ni waoga, wamezubaa, wamepumbaa na wasioona tatizo lolote kwenye uongozi wa nchi yetu.

Asilimia yetu hapa JF tunaopiga makelelele ni ndogo sana kulinganisha na wengi wanaoona kila kitu kiko sawa. Tuna safari ndefu, safari isiyo na matumaini, safari ya maumivu.

Waarabu wametufundisha kusema EWALA....Sasa hata Elim Dunia bado hawataki....Na sasa viongozi wa kiislam wametowa upendeleo kwa elim Dunia lakini fikra za kiarabu ambazo zina chuki na west si nzuri kabisa...Hawa watu wenye mwelekeo wa kimu jahidina huwa hawataji elimu kwa wananchi...Wao wanapenda mapepo tuuu!

Ndio maana namuunga mkono Mkamap. Na hao wachungaji wanao jiita watumishi wa Mungu pia watachomwa moto kama wasiposhiriki kwenye madai haya ya uhuru kwani ni wao waliowahamasisha waumini wao wamachague JK kwa kigezo eti ni chaguo la Mungu.

Watumishi wengi wa Mungu ni MATUMBO TUUU!
Haya sasa....Nabii wenu mliomtabiri katurudishwa UTUMWANI....MPO?
 
Tumejiandaa kumpata huyo kiongozi wa kuumpa huo uongozi? ama tumpe nani nchi hii? nilishauri sana tena sana tuanze mchakato mapema wa kumpata kiongozi mbadala badala ya kulalama bila hoja,

Hizi kelele zetu ni kichekesho kwa CCM, tunaendelea kuwapa kichwa na kuwafanya wao ndiyo waamuzi wa mambo yetu, sawa sijui kama tutafika.


Hivi punde hapa hapa jamvini inabidi tuanzishe Thread mpya ambayo itajadili na kuwachambua potential candidates wa uraisi wa nchi yetu, naamini watu wenye uwezo wapo hawana haja kuwa ni waongeaji au porojo nyingi sana lakini vitendo ni muhimu.

Tuanzie hapa, kumpata kiongozi bora na atakayefaa, naona hilo litakua ni jambo moja kubwa sana ambalo wana JF tutakua tumeifanyia nchi yetu, naamini watu wengi hapa wana data za watu/wanasiasa mbali mbali naamini zitakua na msaada mno katika hili.

Tunaweza..tusijaribu kusema JK hana mbadala kamwe...tutakua tumekosea mnooo watanzania..
 
Akasema hana maana hiyo, na watu wakaangua vicheko

Tanguapo alikuwa hana maana hio....HOWEVER just thinking kuwa at that crucial point raisi bado anaweza akadhani watu wake wanaweza kudhani kaamisha matusi,inabidi mtu ukubali kuwa kweli TUMELIWA
 
Mimi si mshabiki wa Kikwete, ila nashangaa kuona watu wengi wanavyoandika kwamba hotuba yake ilikuwa haina taarifa ya maana wala mwelekeo ndani yake. pamoja na kwamba ninaheshimu maoni binafsi, hivi kweli kwa kukataa yote hivi hivi hatujengi tabia ya opposition for the sake of opposition? Kwangu mie naona kama amefanya kazi kubwa sana ya kuwaondolea wananchi wengi wasi wasi, na maelezo yake juu ya utekelezaji wa EPA angalau ulinipa matumaini kwamba serikali inajitahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria ni siyo kufukuza wala kufunga watu ovyo ili kuwaridhisha waandishi wa habari na malcontents wengine.

Ni kweli kipaumbele inaonekana ametoa kwenye KILIMO...At least kwenye hotuba.

Ila hiyo inaweza kuwa danganya toto...Yani hadi pesa za EPA ziibiwe ndio eti ujidai unapenda kilimo...?

Ni ahadi ngapi alizozitowa kwenye hotuba yake iliyokuwa yenye msisimko ya Hari,kasi, na nguvu mpya?

Hivyo vijisenti vya Chenge vingenunua matrekta mangapi? vipi kuhusu hayo mashangingi?

Mbolea kisasi gani? Maghala mangapi? Mafreezer(walk ins) mangapi ya kuhifadhi chakula in case kuna NJAA?

Mimi nasubiri tu reaction ya wananchi...KAMA BADO WAMELALA...Basi na mimi na take time zangu...Wangapi hapo bongo wameuwawa kwa kuwatetea wananchi na mabadiliko HAKUNA?
 
Jamani punguzeni kejeli kwa JK ni rais wetu huyu jamani.

Hata hivyo hakupata zero jamani.

Mi ninampa maksi 41%

Amejitahidi.

Kutumia muda mwingi kuongea porojo zisizo na msingi kwa kweli Kajitahidi.

Mimi nampa 90%. Ni wachache wana Stamina ya kutumia masaa 4 kuhutubia mambo 'Shallow' kama Muungwana. Bravo JK!
 
Mimi inanipa wasiwasi kama huyu jamaa ataimudu nchi, kwa kipindi cha miaka hii aliyokuwa madarakani ameprove failure 100%.

Je wenzangu Wadanganyika tunaendelea kutizama tu! Bora nianze mdogomdogo. Kama hivi vimiaka ni hivi,, je huko tuendako. Uzuri wetu tunakubali tu bora kukuche!!!! Kwani nani anajali?

Sasa naamini ukimwita mtoto Masumbuko au Taabu ama Hasara anafanania hukohuko. Si mlimwona Masumbuko Lamwai na wengineo bado wanasumbuka, sembuse sisi Wadanganyika tutaendelea kudanganywa tu.

Na kibaya zaidi tutakubali tu! Tutake tusitake ndivyo ilivyo.
 
Where can I get a copy of the speech that y'all are debating about.
 

Jamaa alipotuwekea neno "kauli mbiu...."
Nimecheka sana! Dah!

.

Tehe Tehe unajua haya mambo yanatuchekesha ila kwa kweli yanapaswa kutuliza!Unajua wabunge siriasi mule walikuwa hawacheki kabisa!Hivi ulihesabu mara ngapi Muungwana aliwataja Wamarekani?

Kweli twaliwa ili tule!Kwa kweli hiyo ni kauli mbiu hasa maana aliisisitiza sana kama alivyokuwa anasisitiza ili kauli mbiu ya enzi zile!Tuliwe kwa ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya ili tule!
 
Back
Top Bottom