Tatizo asilimia kubwa ya watanzania imeridhika na hali ya umasikini na ufukara iliyopo nchini, Watanzania wengi wameridhika na jinsi nchi inavyoendeshwa kigoigoi, watanzania wengi wameridhika na uongozi wa kifisadi na kijambazi wa CCM. Watanzania wengi ni waoga, wamezubaa, wamepumbaa na wasioona tatizo lolote kwenye uongozi wa nchi yetu.
Asilimia yetu hapa JF tunaopiga makelelele ni ndogo sana kulinganisha na wengi wanaoona kila kitu kiko sawa. Tuna safari ndefu, safari isiyo na matumaini, safari ya maumivu.