Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

I am very much dissapomted na ndiyo maana sikutaka hata ku report LIVE from Dodoma .I knew all this mess would happen. Again JK huyu katuacha pembeni kabisa.

Hotuba ndeefu haina kitu kabisa .
 
Alichosema sitta baada ya jk;

 

System yake katika suala zima la uongozi? Ni ipi hiyo ambayo tunakuwa vipofu wote na kushindwa kuiona? maana nikiangalia naona kama Utata tu umetawala na Kukatishana tamaa.

System ya kukumbatia maswaiba wachache na kutoa shukurani ya wale waliofanikisha kuingia kwake Ikulu mwaka 2005 kwa miaka miwili na nusu ya Utawala wake ndio unayoiongelea ama kuna nyengine?

Hebu nifahamishe husiana na hilo.
 
Page ya 77:
Currently Active Users Viewing This Thread: 265 (71 members and 194 guests)

Hao wageni tunawaomba wajiunge na JF. Tunaojulikana ni hawa:

Halisi, Adeline Siame, africa6666, august, babaDesi, BabaH, bill, Capitol Hill, chakaza, Chuma, congo, Crashwise, Eeka Mangi, FairPlayer, Franc, Geeque, Haki.tupu, Invincible, jacobae, jamco_za, KADUGUDA, Kamende, katibu tarafa, kilongwe, kimambo, ladymzuri, Loi, Lunyungu, Lyampinga, macho_mdiliko, mahesabu, mamaparoko, Mbalamwezi, Mbassa, Mfamaji, mfwatiliaji, middle, Mnyoofu, mpiganajinambamoja, Mtanzania, Mtu Kwao, Mtuwamungu, muadilifu, mujuni2, MWITA MARANYA, Mzee Mwanakijiji+, Mzozo wa Mizozo, nat867, Nego, nono, ochu, Pakacha, Pipiro, QM, qulfayaqul, Realist, Rufiji, Susuviri, TEMA, think BIG, Tuandamane, Tujisenti, tzengo, utamaduni, Wakuja, Wakunyuti, wanzagi, WildCard, Willy, Yebo Yebo, Zion Train
 
Last edited:
Kuna viongozi wengi ambao ninaamini wanafaa kabisa kuliongoza Taifa letu to the promise land, mmoja naweza kumtaja ni Dr. Wilbroad Slaa Mbunge wa Karatu kupitia Chadema.

Kikwete hana cha u-diplomat wowote, labda tuseme u-diplomat wake uko kwa MAFISADI wenzake ambao wanaifilisi nchi yetu to the bones. KIKWETE hafai hafai hafai, nakumbuka nilishasema huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi na ni kweli kabisa.

Kikwete ameshindwa kabisa kutumia madaraka yake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusimamia haki kwa wote, rasilimali za nchi yetu na pia kuondoa rushwa.

Ameshindwa kwenye suala la kuinua uchumi wa nchi, inabidi tukubali KIKWETE NI 100% FAILURE
 

U-diplomat wake uko kwenye viwalo tu...zaidi ya hapo zero...
 

..teh ..wapenzi na wachabiki wa kikwete..
 

..sidhani kama anastahili hata C popote ..kwani hata michezo...amekazania soka tu ambalo hatujafika popote..bora enzi za mwalimu ..tulivuma riadha na kucheza fainali afrika....huyu zero..

nadhani kazi inayomfaa msanii jk..ni ukomandoo wa yanga.
 
Ninyi wa tz mko na tatizo moja, mnajua majibu kabla ya kuulizwa maswali.Kwani ninyi mlikua mnategemea President wenyu ataongea nini?Mbona mnakua mna fikira hasi? Yaani mnataka kumpangia cha kuongea?

Na ndio ameshaongea hivyo. Matumaini makuubwa wakati mnafahamu ukweli wa mambo. Nyie vipi?
 

Yuo are right ...umeona mbali!
 

Hiki kitu alichosema Spika ndio kitu cha maana kuliko vyote kutoka huko Bungeni. Na kwa masikitiko makubwa hakikutoka kwa JK. Nampa Spika Nyota Tano, au tuseme Six Star kabisa. Outstanding.
 
Nimepitia Thread hii;

Nimegundua yafuatayo:-
1. Bado kuna namba kubwa sana ya wachangiaji hawafahamu nini maana ya utawala bora!

2. Kuna Wachangiaji wako shalow sana, kwamba hawezi hata kuchambua mambo ingawa uhuru walio nao unawafanya nao waonekane wachangiaji makini.

3.Kuna namba kubwa sana ya watu ambao hata hawajasikiliza hotuba ya Rais hivyo wengine wanamwaga maneno tu bila kujua kilichoongelewa nini, Namshukuru Mungu nimemsikiliza Rais mwanzo hadi mwisho. Najua ana weakness zake kama binadamu. Lakini changamoto aliyonayo Rais yetu ni kwamba wananchi wetu hawafahamu kwa nini Rais hataikiwi kumfukuza Kasheshe pale kwenye halimashauri yake.

4. Wale wanaofuatilia siasa za Tanzania... wanakumbuka polisi aliyefukuzwa na waziri mkuu.... etc.

Kumbe watu wengi tunamlaumu Mh. Rais wakati sisi wenyewe ni watu ambao tuko shallow sana.
 
..teh ..wapenzi na wachabiki wa kikwete..

Lady Capricorn ushabiki na upenzi ndiyo huu ambao wewe umeoyesha .Rais unasema kajitahidi ? The only thing nimeona kaongea kwa kuwaweka sawa wananchi ni issue ya Zanzibar ambayo hata hivyo kabakia katika siasa na kutenda.
 

Kasheshe... soma Katiba na uone Rais ana uwezo gani kuhusu watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Mfano wako wa POlisi waliofukuzwa ni mfano mzuri wa kiongozi asiyejua ukomo wa madaraka yake.

Kikwete ana uwezo mkubwa wa kisheria na Kikatiba kusimamia utendaji kazi wa watumishi wa Muungano katika vyombo vile ambapo watumishi wake wanafanya kazi at the pleasure of the president. Naweza kuanza kuvitaja.
 


What is your message exactly .Yaani unataka kusema hotuba ilikuwa super yote na matukio ya Nchi hii majibu yake yamepatikana kwa ufasaha ?
 
Mimi ni moja wa watu waliomnyima JMK kura mwaka 2005 na hili sijutii. Matumaini yangu ni kuwa mwaka 2010 idadi ya watu watakaosema hapana itaongezeka maradufu.

Hata hivyo hofu yangu ni kuwa ari, nia na nguvu ya kuiba kura itaongezeka na kuifanya hii idadi ionekane ndogo zaidi.

Matokeo yake ni kuwa MAFISADI wote chini ya kamanda wao mkuu JMK watashinda tena kwa kishindo. Na baada ya hapo sera ya WIZI na UDANGANYIFU itapewa kipaumbele kwa ari, nia na nguvu mpya ambayo itaifanya hali ya sasa ionekana kama lelemama.
 

viongozi wote duniani waliofanikiwa HAWAKUWA WAOGA KUTOA UAMUZI.....sometimes delayed decisions cost our nation even more..kuliko mtu mzima rais wa nchi kutumia mgongo wa rule of law kama excuse ya maamuzi ya konokono....kwani kuna sheria gani inayosema MWIZI AKISHARUDISHA PESA ..ANAJEUKA HANA HATIA...SO rais kajeuka jaji.....

..mimi nadhani hata kitendo cha spika kuamua kumjibu pale pale,...ni kama kumpa ujumbe kwamba hawajaridhika..na kwa kweli SPIKA AMEONESHA UJASIRI.....maana mara nyingi ..alitegemea sifa...pia inadhihirisha KIKWETE NI RAIS DHAIFU KULIKO WOTE .....kiasi hata spika ameona dawa yake ni kumkosoa pale pale...kudoz six!!!!!

......usigeneralize
 

Mzee Mwanakijiji,

Soma vizuri katiba na sheria... na sisitiza na sheria... Rais hawezi fukuza mfanyakazi wa TBC, TSN, BOT, TRA, etc. etc. hawateui yeye na wala sio muajiri...

Hapa kuna tatizo... ya mawazo ya miaka ya 40... ya taka ku-be applied kipindi hiki...

Baada ya muda mutaelewa... kwa sasa bado... I regret to learn... kwamba tatizo ni wananchi na wala sio Rais.
 
 

We Kasheshe umetumwa nini?

Hivi ni nani anawateua wakurungenzi wa hayo makampuni uliyoyataja (TBC, TSN, BOT, TRA ect.? Au unataka kusema wakurungenzi wa hayo makapuni si wafanyakazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…