Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

I am very much dissapomted na ndiyo maana sikutaka hata ku report LIVE from Dodoma .I knew all this mess would happen. Again JK huyu katuacha pembeni kabisa.

Hotuba ndeefu haina kitu kabisa .
 
Alichosema sitta baada ya jk;

mheshimiwa rais kwanza, waheshimiwa wabunge wanaona pamoja na mamno makubwa yanayofanyika katika maboresho ya utumishi bado kuna ulegevu, unajidhihirisha katika ahadi zinazotamkwa na serikali bungeni na kwingineko bado inaonekana baadhi ya mambo hayajatekelezeka kadiri inavyotakiwa, bado wabunge wanataka kuimarishwa uwajibikaji wa viuongoi na watendaji kuanzia ngazi ya serikali za mitaa hadi serikali kuu ili mheshimiwa rais yale yote unayoyawekea msisitizo yaweze kuwa na ufanisi.

Pili: Ni kweli tuna utawala bora lakini mizani yetu inaelekea kuelemea zaidi kutazama haki za mtu mmoja mmoja kuliko maslahi makubwa zaidi ya taifa letu. Mambo ya ovyo ovyo tokea yale ya commodity import support (cis), suala la rada na fedha za epa (akaunti ya madeni ya nje), ambayo umeizungumza kwa kirefu. Wewe mwenyewe leo inaoekanakana kama ni magumu sana kushughulikiwa kwa sababu ya wa taratibu kanuni na sheria zetu. Na yote haya yako ndani ya uwezo wetu. Sisi bunge tunakuahidi ukiongeza ukali kidogo, katika mambo haya….tutakuwa tayari kupokea mapendekezo ambayo yasiegemee sana kuwasikiliza sana hawa watendaji. Baadhi yao tunaochaguliwa ndio sisi hii mifumo ya ucheleweshaji kusema amedhulumiwa huyu, sijui yule inawahusu…. Sasa kama yanapotea mabilioni, mtanzania wa kawaida ukimueleza haelewi, ambaye hata mlo wake ni wa shida. Wakati ambako tunacholaumu ni taratibu ambazo ziko ndani ya uwezo wetu. Sisi kama bunge tunasubiri tu utuletee ili na ndio siri ya maendeleo ya waliokwenda haraka sana kimaendeleo kule south asia hawakukaa sana na haya mambo ya haki za binadamu kwa wanaohujumu uchumi. Hakuna haki ya binadamu kwa anayehujumu uchumi.
 
Kweli JMushi, ila hofu yangu ni kwamba tunakuwa vipofu wa makusudi kuhusu how change really occurs. inachukua muda. sisemi kwamba serikali yake kikwete is on point kwa kila kitu, kwa mfano hizo sekondari za kata za vodafasta kweli ni dangaya toto: bila waalimu wazuri tutavuna kizazi cha watanzania wasioajirika huko mbele ya safari kwasababu ya uduni wa elimu. Ila nadhani leo hotuba ya rais imeashiria kwamba tupende tusipende Kikwete anafanya kazi kwa mantiki, anayo system yake, na anapenda kutoa majibu kamili ya utendaji baada ya kufanya kazi badala ya kuropoka ovyo.

wapinzani wa ndani na nje ya bunge wametuzoeza hizi sera na politics za kugrand-stand. hata ninavyo wapenda wapiganaji akina chadema crew na baadhi ya wabunge wa CCM, ninawaamini zaidi watendaji ambao wanafanya mambo yao kimya na kutoa majibu kwa kufikiria kama akina Pinda (and perhaps Kikwete to some extent). Sasa nitapenda kuwaona wapinzani watakavyompaka matope knowing that it is always far easier to criticize someone who is making an attempt- kwani wao hawajapata nafasi ya kupambana na changamoto za kuendesha nchi (siyo majimba na halmashauri tu) huku wakitukanwa hadharani kila siku. tusizoee ku-underestimate kazi za serikali.

System yake katika suala zima la uongozi? Ni ipi hiyo ambayo tunakuwa vipofu wote na kushindwa kuiona? maana nikiangalia naona kama Utata tu umetawala na Kukatishana tamaa.

System ya kukumbatia maswaiba wachache na kutoa shukurani ya wale waliofanikisha kuingia kwake Ikulu mwaka 2005 kwa miaka miwili na nusu ya Utawala wake ndio unayoiongelea ama kuna nyengine?

Hebu nifahamishe husiana na hilo.
 
Page ya 77:
Currently Active Users Viewing This Thread: 265 (71 members and 194 guests)

Hao wageni tunawaomba wajiunge na JF. Tunaojulikana ni hawa:

Halisi, Adeline Siame, africa6666, august, babaDesi, BabaH, bill, Capitol Hill, chakaza, Chuma, congo, Crashwise, Eeka Mangi, FairPlayer, Franc, Geeque, Haki.tupu, Invincible, jacobae, jamco_za, KADUGUDA, Kamende, katibu tarafa, kilongwe, kimambo, ladymzuri, Loi, Lunyungu, Lyampinga, macho_mdiliko, mahesabu, mamaparoko, Mbalamwezi, Mbassa, Mfamaji, mfwatiliaji, middle, Mnyoofu, mpiganajinambamoja, Mtanzania, Mtu Kwao, Mtuwamungu, muadilifu, mujuni2, MWITA MARANYA, Mzee Mwanakijiji+, Mzozo wa Mizozo, nat867, Nego, nono, ochu, Pakacha, Pipiro, QM, qulfayaqul, Realist, Rufiji, Susuviri, TEMA, think BIG, Tuandamane, Tujisenti, tzengo, utamaduni, Wakuja, Wakunyuti, wanzagi, WildCard, Willy, Yebo Yebo, Zion Train
 
Last edited:
Safi, Geeque na wengine ambao mnaona kwamba awamu ya nne na kiongozi wake wamefeli kabisa naomba mniambie nani anaweza kuwa credible alternative? upinzani wa maneno ni rahisi (na una manufaa yake) lakini utendaji ni kitu tofauti. kweli kuna wawakilishi wa watu huko bungeni ambao wanafanya mambo lakini siamini kama kwenye utendaji wangeweza kuendelea na kasi ile ile. usisahau JK ni diplomat, anajua kwamba sometimes you need force, sometimes you need blah blah and sometimes you quietly take care of business.
Kuna viongozi wengi ambao ninaamini wanafaa kabisa kuliongoza Taifa letu to the promise land, mmoja naweza kumtaja ni Dr. Wilbroad Slaa Mbunge wa Karatu kupitia Chadema.

Kikwete hana cha u-diplomat wowote, labda tuseme u-diplomat wake uko kwa MAFISADI wenzake ambao wanaifilisi nchi yetu to the bones. KIKWETE hafai hafai hafai, nakumbuka nilishasema huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi na ni kweli kabisa.

Kikwete ameshindwa kabisa kutumia madaraka yake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusimamia haki kwa wote, rasilimali za nchi yetu na pia kuondoa rushwa.

Ameshindwa kwenye suala la kuinua uchumi wa nchi, inabidi tukubali KIKWETE NI 100% FAILURE
 
Kuna viongozi wengi ambao ninaamini wanafaa kabisa kuliongoza Taifa letu to the promise land, mmoja naweza kumtaja ni Dr. Wilbroad Slaa Mbunge wa Karatu kupitia Chadema.

Kikwete hana cha u-diplomat wowote, labda tuseme u-diplomat wake uko kwa MAFISADI wenzake ambao wanaifilisi nchi yetu to the bones. KIKWETE hafai hafai hafai, nakumbuka nilishasema huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi na ni kweli kabisa. Kikwete ameshindwa kabisa kutumia madaraka yake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusimamia haki kwa wote, rasilimali za nchi yetu na pia kuondoa rushwa. Ameshindwa kwenye suala la kuinua uchumi wa nchi.

U-diplomat wake uko kwenye viwalo tu...zaidi ya hapo zero...
 
Mimi si mshabiki wa Kikwete, ila nashangaa kuona watu wengi wanavyoandika kwamba hotuba yake ilikuwa haina taarifa ya maana wala mwelekeo ndani yake. pamoja na kwamba ninaheshimu maoni binafsi, hivi kweli kwa kukataa yote hivi hivi hatujengi tabia ya opposition for the sake of opposition? Kwangu mie naona kama amefanya kazi kubwa sana ya kuwaondolea wananchi wengi wasi wasi, na maelezo yake juu ya utekelezaji wa EPA angalau ulinipa matumaini kwamba serikali inajitahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria ni siyo kufukuza wala kufunga watu ovyo ili kuwaridhisha waandishi wa habari na malcontents wengine.

..teh ..wapenzi na wachabiki wa kikwete..
 
Amemaliza sasa ni wakati wa kurate hiyo hutuba.

Swala la
  1. Zanzibar.................................. A
  2. Swala la Shilingi ...................... F
  3. Swala la kipato cha mtanzania ..... C
  4. Swala la wafanyakazi ................ B
  5. Swala la Michezo ....................... A+
  6. Swala la EPA ......................... F
  7. Swala la Rushwa ....................... F
  8. Kuchukulia Hatua Wezi wa mali za umma C

..sidhani kama anastahili hata C popote ..kwani hata michezo...amekazania soka tu ambalo hatujafika popote..bora enzi za mwalimu ..tulivuma riadha na kucheza fainali afrika....huyu zero..

nadhani kazi inayomfaa msanii jk..ni ukomandoo wa yanga.
 
Ninyi wa tz mko na tatizo moja, mnajua majibu kabla ya kuulizwa maswali.Kwani ninyi mlikua mnategemea President wenyu ataongea nini?Mbona mnakua mna fikira hasi? Yaani mnataka kumpangia cha kuongea?

Na ndio ameshaongea hivyo. Matumaini makuubwa wakati mnafahamu ukweli wa mambo. Nyie vipi?
 
Ninyi wa tz mko na tatizo moja, mnajua majibu kabla ya kuulizwa maswali.Kwani ninyi mlikua mnategemea President wenyu ataongea nini?Mbona mnakua mna fikira hasi? Yaani mnataka kumpangia cha kuongea?
Na ndio ameshaongea hivyo.... Matumaini makuubwa wakati mnafahamu ukweli wa mambo. Nyie vipi??

Yuo are right ...umeona mbali!
 
Alichosema sitta baada ya jk;......mheshimiwa rais kwanza, waheshimiwa wabunge wanaona pamoja na mamno makubwa yanayofanyika katika maboresho ya utumishi bado kuna ulegevu, unajidhihirisha katika ahadi zinazotamkwa na serikali bungeni na kwingineko bado inaonekana baadhi ya mambo hayajatekelezeka kadiri inavyotakiwa, bado wabunge wanataka kuimarishwa uwajibikaji wa viuongoi na watendaji kuanzia ngazi ya serikali za mitaa hadi serikali kuu ili mheshimiwa rais yale yote unayoyawekea msisitizo yaweze kuwa na ufanisi.

Pili: Ni kweli tuna utawala bora lakini mizani yetu inaelekea kuelemea zaidi kutazama haki za mtu mmoja mmoja kuliko maslahi makubwa zaidi ya taifa letu. Mambo ya ovyo ovyo tokea yale ya commodity import support (cis), suala la rada na fedha za epa (akaunti ya madeni ya nje), ambayo umeizungumza kwa kirefu. Wewe mwenyewe leo inaoekanakana kama ni magumu sana kushughulikiwa kwa sababu ya wa taratibu kanuni na sheria zetu. Na yote haya yako ndani ya uwezo wetu. Sisi bunge tunakuahidi ukiongeza ukali kidogo, katika mambo haya….tutakuwa tayari kupokea mapendekezo ambayo yasiegemee sana kuwasikiliza sana hawa watendaji. Baadhi yao tunaochaguliwa ndio sisi hii mifumo ya ucheleweshaji kusema amedhulumiwa huyu, sijui yule inawahusu…. Sasa kama yanapotea mabilioni, mtanzania wa kawaida ukimueleza haelewi, ambaye hata mlo wake ni wa shida. Wakati ambako tunacholaumu ni taratibu ambazo ziko ndani ya uwezo wetu. Sisi kama bunge tunasubiri tu utuletee ili na ndio siri ya maendeleo ya waliokwenda haraka sana kimaendeleo kule south asia hawakukaa sana na haya mambo ya haki za binadamu kwa wanaohujumu uchumi. Hakuna haki ya binadamu kwa anayehujumu uchumi.

Hiki kitu alichosema Spika ndio kitu cha maana kuliko vyote kutoka huko Bungeni. Na kwa masikitiko makubwa hakikutoka kwa JK. Nampa Spika Nyota Tano, au tuseme Six Star kabisa. Outstanding.
 
Nimepitia Thread hii;

Nimegundua yafuatayo:-
1. Bado kuna namba kubwa sana ya wachangiaji hawafahamu nini maana ya utawala bora!

2. Kuna Wachangiaji wako shalow sana, kwamba hawezi hata kuchambua mambo ingawa uhuru walio nao unawafanya nao waonekane wachangiaji makini.

3.Kuna namba kubwa sana ya watu ambao hata hawajasikiliza hotuba ya Rais hivyo wengine wanamwaga maneno tu bila kujua kilichoongelewa nini, Namshukuru Mungu nimemsikiliza Rais mwanzo hadi mwisho. Najua ana weakness zake kama binadamu. Lakini changamoto aliyonayo Rais yetu ni kwamba wananchi wetu hawafahamu kwa nini Rais hataikiwi kumfukuza Kasheshe pale kwenye halimashauri yake.

4. Wale wanaofuatilia siasa za Tanzania... wanakumbuka polisi aliyefukuzwa na waziri mkuu.... etc.

Kumbe watu wengi tunamlaumu Mh. Rais wakati sisi wenyewe ni watu ambao tuko shallow sana.
 
..teh ..wapenzi na wachabiki wa kikwete..

Lady Capricorn ushabiki na upenzi ndiyo huu ambao wewe umeoyesha .Rais unasema kajitahidi ? The only thing nimeona kaongea kwa kuwaweka sawa wananchi ni issue ya Zanzibar ambayo hata hivyo kabakia katika siasa na kutenda.
 
Nimepitia Thread hii;

Nimegundua yafuatayo:-
1. Bado kuna namba kubwa sana ya wachangiaji hawafahamu nini maana ya utawala bora!

2. Kuna Wachangiaji wako shalow sana, kwamba hawezi hata kuchambua mambo ingawa uhuru walio nao unawafanya nao waonekane wachangiaji makini.

3.Kuna namba kubwa sana ya watu ambao hata hawajasikiliza hotuba ya Rais hivyo wengine wanamwaga maneno tu bila kujua kilichoongelewa nini, Namshukuru Mungu nimemsikiliza Rais mwanzo hadi mwisho. Najua ana weakness zake kama binadamu. Lakini changamoto aliyonayo Rais yetu ni kwamba wananchi wetu hawafahamu kwa nini Rais hataikiwi kumfukuza Kasheshe pale kwenye halimashauri yake.

4. Wale wanaofuatilia siasa za Tanzania... wanakumbuka polisi aliyefukuzwa.

Kumbe watu wengi tunamlaumu Mh. Rais wakati sisi wenyewe ni watu ambao tuko shallow sana.

Kasheshe... soma Katiba na uone Rais ana uwezo gani kuhusu watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Mfano wako wa POlisi waliofukuzwa ni mfano mzuri wa kiongozi asiyejua ukomo wa madaraka yake.

Kikwete ana uwezo mkubwa wa kisheria na Kikatiba kusimamia utendaji kazi wa watumishi wa Muungano katika vyombo vile ambapo watumishi wake wanafanya kazi at the pleasure of the president. Naweza kuanza kuvitaja.
 
Nimepitia Thread hii;

Nimegundua yafuatayo:-
1. Bado kuna namba kubwa sana ya wachangiaji hawafahamu nini maana ya utawala bora!

2. Kuna Wachangiaji wako shalow sana, kwamba hawezi hata kuchambua mambo ingawa uhuru walio nao unawafanya nao waonekane wachangiaji makini.

3.Kuna namba kubwa sana ya watu ambao hata hawajasikiliza hotuba ya Rais hivyo wengine wanamwaga maneno tu bila kujua kilichoongelewa nini, Namshukuru Mungu nimemsikiliza Rais mwanzo hadi mwisho. Najua ana weakness zake kama binadamu. Lakini changamoto aliyonayo Rais yetu ni kwamba wananchi wetu hawafahamu kwa nini Rais hataikiwi kumfukuza Kasheshe pale kwenye halimashauri yake.

4. Wale wanaofuatilia siasa za Tanzania... wanakumbuka polisi aliyefukuzwa.

Kumbe watu wengi tunamlaumu Mh. Rais wakati sisi wenyewe ni watu ambao tuko shallow sana.

What is your message exactly .Yaani unataka kusema hotuba ilikuwa super yote na matukio ya Nchi hii majibu yake yamepatikana kwa ufasaha ?
 
Mimi ni moja wa watu waliomnyima JMK kura mwaka 2005 na hili sijutii. Matumaini yangu ni kuwa mwaka 2010 idadi ya watu watakaosema hapana itaongezeka maradufu.

Hata hivyo hofu yangu ni kuwa ari, nia na nguvu ya kuiba kura itaongezeka na kuifanya hii idadi ionekane ndogo zaidi.

Matokeo yake ni kuwa MAFISADI wote chini ya kamanda wao mkuu JMK watashinda tena kwa kishindo. Na baada ya hapo sera ya WIZI na UDANGANYIFU itapewa kipaumbele kwa ari, nia na nguvu mpya ambayo itaifanya hali ya sasa ionekana kama lelemama.
 
Nimepitia Thread hii;

Nimegundua yafuatayo:-
1. Bado kuna namba kubwa sana ya wachangiaji hawafahamu nini maana ya utawala bora!

2. Kuna Wachangiaji wako shalow sana, kwamba hawezi hata kuchambua mambo ingawa uhuru walio nao unawafanya nao waonekane wachangiaji makini.

3.Kuna namba kubwa sana ya watu ambao hata hawajasikiliza hotuba ya Rais hivyo wengine wanamwaga maneno tu bila kujua kilichoongelewa nini, Namshukuru Mungu nimemsikiliza Rais mwanzo hadi mwisho. Najua ana weakness zake kama binadamu. Lakini changamoto aliyonayo Rais yetu ni kwamba wananchi wetu hawafahamu kwa nini Rais hataikiwi kumfukuza Kasheshe pale kwenye halimashauri yake.

4. Wale wanaofuatilia siasa za Tanzania... wanakumbuka polisi aliyefukuzwa.

Kumbe watu wengi tunamlaumu Mh. Rais wakati sisi wenyewe ni watu ambao tuko shallow sana.

viongozi wote duniani waliofanikiwa HAWAKUWA WAOGA KUTOA UAMUZI.....sometimes delayed decisions cost our nation even more..kuliko mtu mzima rais wa nchi kutumia mgongo wa rule of law kama excuse ya maamuzi ya konokono....kwani kuna sheria gani inayosema MWIZI AKISHARUDISHA PESA ..ANAJEUKA HANA HATIA...SO rais kajeuka jaji.....

..mimi nadhani hata kitendo cha spika kuamua kumjibu pale pale,...ni kama kumpa ujumbe kwamba hawajaridhika..na kwa kweli SPIKA AMEONESHA UJASIRI.....maana mara nyingi ..alitegemea sifa...pia inadhihirisha KIKWETE NI RAIS DHAIFU KULIKO WOTE .....kiasi hata spika ameona dawa yake ni kumkosoa pale pale...kudoz six!!!!!

......usigeneralize
 
Kasheshe... soma Katiba na uone Rais ana uwezo gani kuhusu watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Mfano wako wa POlisi waliofukuzwa ni mfano mzuri wa kiongozi asiyejua ukomo wa madaraka yake; Kikwete ana uwezo mkubwa wa kisheria na Kikatiba kusimamia utendaji kazi wa watumishi wa Muungano katika vyombo vile ambapo watumishi wake wanafanya kazi at the pleasure of the president. Naweza kuanza kuvitaja.

Mzee Mwanakijiji,

Soma vizuri katiba na sheria... na sisitiza na sheria... Rais hawezi fukuza mfanyakazi wa TBC, TSN, BOT, TRA, etc. etc. hawateui yeye na wala sio muajiri...

Hapa kuna tatizo... ya mawazo ya miaka ya 40... ya taka ku-be applied kipindi hiki...

Baada ya muda mutaelewa... kwa sasa bado... I regret to learn... kwamba tatizo ni wananchi na wala sio Rais.
 
Ngoja ngoja inaumiza matumbo hasa ulichokingoja kisipotokea, kikaja kingine usichokitegemea. Sasa tutaona tusichokitegemea. Zaidi zaidi atasema haya:
+Ufisadi utazungumziwa kidogo tu,
+ muungano sana
+ atalaumu sana wanaokosoa serikali
+ takukuru watapewa sifa

Mwisho wa hotuba hakuna 'action' itakayochukuliwa -wote midomo wazi hahahahahahaaaaaaaa. Ni kweli kabisa yaliyotokea leo dodoma, aibu tupu kama ulivyotabiri mzee. No action.
 
Mzee Mwanakijiji,

Soma vizuri katiba na sheria... na sisitiza na sheria... Rais hawezi fukuza mfanyakazi wa TBC, TSN, BOT, TRA, etc. etc. hawateui yeye na wala sio muajiri...

Hapa kuna tatizo... ya mawazo ya miaka ya 40... ya taka ku-be applied kipindi hiki...

Baada ya muda mutaelewa... kwa sasa bado... I regret to learn... kwamba tatizo ni wananchi na wala sio Rais.

We Kasheshe umetumwa nini?

Hivi ni nani anawateua wakurungenzi wa hayo makampuni uliyoyataja (TBC, TSN, BOT, TRA ect.? Au unataka kusema wakurungenzi wa hayo makapuni si wafanyakazi?
 
Back
Top Bottom