DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Sawa mkuu kama unataka kujua nini maana ya Amri Jeshi Mkuu wa Tanzania... Endelea kusema hivyo, mimi simo!
Anyway... najua umeshaelewa...
Duh, maspin docta wameingia humu lakini ni vituko! Kuna mtu wa kumtetea lakini siyo JK he is beyond salvation!!!
Hapa nakuunga mkono ila na wezi wote walio jela na hata wa kutumia silaha nao waachiwe warudi mitaani tuanze upya, yaani nchi safi, maisha mapya hali mpya nguvu mpya kasi mpya.
..ndio, nimeelewa kuwa hujanielewa.
..chokochoko za zanzibar hazikuanza leo, na hazitakwisha!
Sawa mkuu ... endelezeni..... mimi simo... lakini ole ole wenu... muweke kwenye uasi... au kwenye kundi la magaidi...
Naomba Mungu aepushe hayo...
Tumalize... Kuelewesha waZanzibar ni kazi... nadhani nimejitahidi... naomba niishie hapo...
Hoja nyingine?
Sawa mkuu kama unataka kujua nini maana ya Amri Jeshi Mkuu wa Tanzania... Endelea kusema hivyo, mimi simo!
Anyway... najua umeshaelewa...
..hivi tanzania siku hizi ina amiri jeshi mkuu.......
..kijijini kwetu enzi ya operesheni vijiji tulikuwa na AMIRI MGAMBO MKUU ..alikuwa na nguvu kweli...akiongea yes unajua mwenyekiti wa kijiji kaongea!!!!
LEO INGEPENDEZA KWA KUWA ALIKUWA ANAONGELEA MUUNGANO...BAADHI YA KAULI AZITOE MBELE YA KARUME ....ILI KUTUAMINISHA KUWA HE IS IN CONTROL..INGEKUWA SAFI KAMA LEO ..ANGEONGOZANA NA KARUME .... HII INGESAIDIA SANA...KWA SABABU IKULU HII YA ZANZIBAR NDIO ILIKUWA IKIJIBIZANA KILA SIKU NA PINDA......SASA KWA HILI SUBIRINI KINA SHAMHUNA WAAZE KUMJIBU KIKWETE USONI...STATEMENT ZA IKULU YA ZANZIBAR..
.ANGEONGOZANA NA KARUME .... HII INGESAIDIA SANA...KWA SABABU IKULU HII YA ZANZIBAR NDIO ILIKUWA IKIJIBIZANA KILA SIKU NA PINDA......SASA KWA HILI SUBIRINI KINA SHAMHUNA WAAZE KUMJIBU KIKWETE USONI...STATEMENT ZA IKULU YA ZANZIBAR..
hoja nzuri!!!!
2. Mwenye akili timamu yeyote anajua huyo aliyefaidika na epa tayari choka mbaya. Hii ni adhabu kubwa sana... Kuliko ukimpeleka mtu gerezani... ...
Think big bro.
Hoja nzuri!!!!
1. Haya ni makosa ya kwanza kuitwa makosa kwenye jamii yetu... uliwahi kuwa na EPA nyingine? alafu hii ikawa ya pili?
2. Mwenye akili timamu yeyote anajua huyo aliyefaidika na EPA tayari choka mbaya. hii ni adhabu kubwa sana... kuliko ukimpeleka mtu gerezani... kwa miaka miwili au faini... mil. 5, ambazo huenda ndio ziko kwenye sheria kama adhabu... kumbuka sheria nyingi zina adhabu za juu..... jamaa wangeweka fedha zao kwenye Hisa mfano za NMB. wakitoka kifungo baada ya mwaka au miezi... kwa kuwa hawakutumia silaha misamaha mingi inge-apply kwao... wange-endelea kuwa mamilionea...
Think Big bro.
heshima mbele,
wait 'n' see. Mwanadiplomasia yeyote huanza na maridhiano... Mitisho...amri inafuata baadaye kabisa...
Well. Hivi unasahau vipi kwamba shamhuna ali-miss unec wa ccm... Hivi atatoka na nini kama wanavyosema vijana wa siku hizi wa bongo flavour... Aliona hili ndio la kutokea...
Lakini rais ana-uhakika kwamba it is something manageable.
I couldn't expect a statement of this kind from a person like you! ingetoka kwa wale jamaa wengine ningekubali!!!
Let take this as weakness or strength depending on how you take it! Rais hapendi kumfunga mtu ati tu kwa kuwa yeye ni Rais... Ana uvumilivu ana subira na anahakikisha haki inatendeka.
Na amesema kufanya pupa kunaweza kufanya tuwazawadie wahalifu... alichosema... akimfukuza mtu... baada ya siku chache akirudishwa kazini kwa sheria za nchi akiambia serikali ilipe fidia... kwamba huu ni upuuzi....
Tusubiri madikteta wachukua nchi kwa yeye ameelezea vizuri pale alipokuwa amemtaja Dr. Slaa(Kwa utani) kwamba that is not something he will do... ndio maana tuna haki ya kujadili bila kuwaingilia ... na hata wengine wanafika kumtukana Mh. Rais... huu ni upuuzi.
36.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika
Katiba hii na ya sheria nyingine yoyote, Rais atakuwa na
mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka ya namna
mbalimbali katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushika
nafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera za
idara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wanaowajibika
kusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katika
utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazo
zimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbali
zilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuzi
unaofanywa na Rais.
(3) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (2), masharti
mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria yoyote
inayohusika, mamlaka ya kuwateua watu wengine wote
wasiokuwa viongozi wala watendaji wakuu, kushika nafasi za
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, na pia mamalaka ya kuwapandisha vyeo watu hao, kuwaondoa katika madaraka, kuwafukuza kazi na mamlaka ya kudhibiti nidhamu ya watu waliokabidhiwa madaraka, yatakuwa mikononi
mwa Tume za Utumishi na mamlaka mengineyo yaliyotajwa na
kupewa madaraka kuhusu nafasi za madaraka kwa mujibu wa
Katiba hii au kwa mujibu wa sheria yoyote inayohusika.
(4) Masharti ya ibara ndogo ya (2) na ya (3) hayatahesabiwa
kuwa yanamzuia Rais kuchukua hatua za kudhibiti nidhamu ya
watumishi na utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Wengine tunajadili hoja! Njoo kwa hoja achana na viroja!!!
....Fanya tu kwamba uko kwenye kundi lipi...
Liliona hoja, au liliona Rais anacheka!
Hoja nzuri!!!!
1. Haya ni makosa ya kwanza kuitwa makosa kwenye jamii yetu... uliwahi kuwa na EPA nyingine? alafu hii ikawa ya pili?
2. Mwenye akili timamu yeyote anajua huyo aliyefaidika na EPA tayari choka mbaya. hii ni adhabu kubwa sana... kuliko ukimpeleka mtu gerezani... kwa miaka miwili au faini... mil. 5, ambazo huenda ndio ziko kwenye sheria kama adhabu... kumbuka sheria nyingi zina adhabu za juu..... jamaa wangeweka fedha zao kwenye Hisa mfano za NMB. wakitoka kifungo baada ya mwaka au miezi... kwa kuwa hawakutumia silaha misamaha mingi inge-apply kwao... wange-endelea kuwa mamilionea...