Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GT
Tangazo la Tenda hilo hapo juu. Mwisho tare20/June/2008
Thanks Pascal
GT
kuhusu kuomba radhi katika kujaribu kupotosha umma kwa mara nyingine(mara ya kwanza ulikuwa na kusema MEMBE anayo kampuni na RAMA MAKALIO,ambayo mwenyewe kwa ungwana wako na heshima uliojivunia mwenyewe humu ndani ukaja kuomba radhi,naukaungwa mkono na wachangiaji wanaokudhamini kama mwenzao),hila imeonekana wazi wewe tatizo lako kubwa sio vitambulisho,bali ni MEMBE,je wewe katika mtazamo wako katika huu mjadala wa vitambulisho,umewatendendea haki watu wanaodhamini mchango wako unapoutoa?
naomba upime uzito mwenyewe kilongola
you are getting so emotional and touchy...i must have hit the nerveGT
napenda kusifu kitu kimoja kwako kwamba umeweka wazi nia yako hapa
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=275
hila ni vema ungeanzisha thread ya kwako kuhusu MEMBE labda jina la hiyo thread inngesema "MEMBE IM YOUR WEB STALKER" or "MEMBE IM JUST OBSESSED WITH YOU" au labda therapy inaweza kukupa mwongozo ndugu mganganyika ,wale jamaa wanao toka kinu wa 118-118 wa uingereza bado wapo? wanaweza wakakupa shavu,hila sijua Kama NHS wanaweza kukulinda.
Sijui umeingiliwa na nini mngwana ulukuwa mtu wakupost mikiki,sababu zako wewe na MEMBE mnazijua wenyewe sizani kama wewe ungependa zijulikane ,mie binafsi nisingependa kuzijua
msaada wangu kwako kwenye hili ni number ya MEMBE mpigie mmalizane chukua kalamu mngwana +255 754 815815
Maanake unayumbisha huu mjadala muhimu sana katika taifa letu kama kuna mazuri ya hivi vitambulisho tuyajue kama kuna mabaya pia ni vema kuya jua mapema,kuna watu wameleta hoja za msingi je vitabulisho wapewe kina nani husan jamii ya kiafrica na wasipewe wengine kuangalia nyakati na kadhalika,
mngwana bado unanafasi na huku chimboni kwetu heshima bado inaendelea Mtaalamu wa mikiki GT
Vitambulisho vya Uraia bomu jingine
Shaka hiyo inatokana na ukweli kwamba tangu mwanzo mradi huo umesimamiwa na maofisa wa Serikali kutoka Wizara za Mambo ya Nje na Ofisi ya Rais (Utumishi) kama washauri na ambao sasa inaaminika tayari wamekwisha kulipwa kwa kazi yao hiyo.
![]()
Taarifa zinasema pia kwamba sasa washauri hao kutoka serikalini wamejipanga katika nafasi za asasi zitakazokuwa zikisimamia mradi huo.
Raia Mwema imefanikiwa kuona orodha ya washauri mbalimbali wa mradi huo ambao baadhi yao wako karibu na vigogo serikalini. Orodha ya washauri hao ni pamoja na Profesa Damas Muna, Jaffar Buyogera, John Kyaruzi, Dickson Maimu, Jack Gotham, Salum Mpugusi, Donald Carriere, Coen Kleinhans, Kenneth Roko, Robert Alexander, Balozi Richard Butler, Anthony Githua, Rama Mwikalo na Robert Stewart.
Baadhi ya nyaraka ambazo Raia Mwema imefanikiwa kuona zinaonyesha kwamba wazo la mradi huo lilidakwa na kampuni ya Gotham International ambayo iliingia ubia na kampuni ya FootPrint Africa Business Solutions ya Afrika Kusini na kwa pamoja zikaingia katika mkataba na Wizara ya Mambo ya Ndani wa kuzifanya kampuni hizo mbili kuwa meneja wa mradi baada ya kukamilisha kazi ya utafiti wa awali
zaidi soma hapa:
http://www.raiamwema.co.tz/08/03/12/3.php
Vitambulisho vya Uraia bomu jingine Shaka hiyo inatokana na ukweli kwamba tangu mwanzo mradi huo umesimamiwa na maofisa wa Serikali kutoka Wizara za Mambo ya Nje na Ofisi ya Rais (Utumishi) kama washauri na ambao sasa inaaminika tayari wamekwisha kulipwa kwa kazi yao hiyo. Taarifa zinasema pia kwamba sasa washauri hao kutoka serikalini wamejipanga katika nafasi za asasi zitakazokuwa zikisimamia mradi huo. Raia Mwema imefanikiwa kuona orodha ya washauri mbalimbali wa mradi huo ambao baadhi yao wako karibu na vigogo serikalini. Orodha ya washauri hao ni pamoja na Profesa Damas Muna said:mngwana unaji qoute mwenyewe tena?
emotional.......mhh
nimekusoma,pole
Vitambulisho vya Uraia bomu jingine
Shaka hiyo inatokana na ukweli kwamba tangu mwanzo mradi huo umesimamiwa na maofisa wa Serikali kutoka Wizara za Mambo ya Nje na Ofisi ya Rais (Utumishi) kama washauri na ambao sasa inaaminika tayari wamekwisha kulipwa kwa kazi yao hiyo.
Taarifa zinasema pia kwamba sasa washauri hao kutoka serikalini wamejipanga katika nafasi za asasi zitakazokuwa zikisimamia mradi huo.
Raia Mwema imefanikiwa kuona orodha ya washauri mbalimbali wa mradi huo ambao baadhi yao wako karibu na vigogo serikalini. Orodha ya washauri hao ni pamoja na Profesa Damas Muna, Jaffar Buyogera, John Kyaruzi, Dickson Maimu, Jack Gotham, Salum Mpugusi, Donald Carriere, Coen Kleinhans, Kenneth Roko, Robert Alexander, Balozi Richard Butler, Anthony Githua, Rama Mwikalo na Robert Stewart.
Baadhi ya nyaraka ambazo Raia Mwema imefanikiwa kuona zinaonyesha kwamba wazo la mradi huo lilidakwa na kampuni ya Gotham International ambayo iliingia ubia na kampuni ya FootPrint Africa Business Solutions ya Afrika Kusini na kwa pamoja zikaingia katika mkataba na Wizara ya Mambo ya Ndani wa kuzifanya kampuni hizo mbili kuwa meneja wa mradi baada ya kukamilisha kazi ya utafiti wa awali ]
ZAIDI SOMA HAPA:MRADI mkubwa wa Vitambulisho vya Taifa bado umegubikwa na utata, huku kukiwa na sura dhahiri ya ukosefu wa uwazi na hata kuonekana ni kinyang'anyiro cha ulaji.
![]()
Taarifa zinasema kwamba mradi huo wa fedha nyingi umekuwa ukigombewa na wakubwa: Mambo ya Ndani; Mambo ya Nje; Ofisi ya Waziri Mkuu na ulibuniwa na wajiriwa serikalini na kisha kampuni yao ya Gotham International ikapewa kazi ya upembuzi na hatimaye ikaandaa mchanganuo.
Kati ya waajiriwa hao wa serikali walikuwamo Jack Gotham mwenye uhusiano wa karibu na viongozi wengi serikalini na John Kyaruzi mwajiriwa wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) ambaye ameelezwa kuwa ndiye aliyevuta kampuni moja ya Afrika Kusini, Business Connection (Bcx) kuunda timu ya Gotham International.
Vitambulisho hivyo vilikuwa vianze kutoka kabla ya mwaka ujao, lakini sasa baada ya utata huo baadhi ya wataalamu wa masuala hayo wanaona kuwa hakuna haja tena ya kuwa navyo kama havihusishi pamoja na mambo mengine, kama takwimu muhimu za wapiga kura.
"Hicho kitambulisho kinachotafutwa kwanza ni ghali sana mpaka hata Benki ya Dunia ilihoji kama Tanzania inahitaji kitu ghali kama hicho.
"Lakini pia sasa Tume ya Uchaguzi inapitia Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ungetarajia kitambulisho hicho kiwe na taarifa zote hizo, lakini sasa Serikali inataka kuwa na utambulisho wake na Tume ya Uchaguzi nayo utambulisho wake, hii haileti maana," anasema mtaalamu mmoja wa takwimu.